Gaza: Wanamgambo wa Hamas waanza kujisalimisha kwa jeshi la Israel, Hakuna tena kujificha nyuma ya wanawake na watoto, ni vita ya ana kwa ana

Jeshi la Israel limefanikiwa kuwaweka chini ya ulinzi wanamgambo wa Hamas kikosi cha Shejaiya

Ni kikosi kikubwa ndani ya Hamas kilichohusika zaidi kwenye shambulio la October 7 kwa kurusha mamia ya roketi kuelekea Israel, Siku 3 zilizopita ngome kuu ya kikosi hicho iliyopo Wissam Farhat, iliteketezwa na Jeshi la Israel.

Raia wema wa kipalestina kwa sasa wapo Gaza kusini kwa muda na watarudi hapo baadae operesheni zitapomalizika.

Magaidi wa Hamas walipewa amri wavue nguo za nje kwa sababu za kiusalama ikiwemo kuchukua tahadhari dhidi ya mabomu ya kujitoa muhanga yanayoshonwa kwenye nguo.

HAKUNA KITU HAPO...UONGO MTUPU,jeshi lia israel limeshindwa kilichobaki ni propaganda tu
 
Ww kuniambia kuwa sijui historia ya mashariki ya kati haini sumbui maana huo ni mtazamo wako, ebu tuchukulie mfano hayo maelezo yote uliyo yaandika ni ya kweli.sasa katika maelezo yako yote uliyo yaweka hapo kuna jambo lolote linalo halalisha kuchukua binadamu mwenzako na kuwajaza kwenye makambi kama wafungwa katika karne hii ya 21 hali ya kuwa wana ardhi zao ambazo wange ishi kwa Uhuru?

Au kati ya hayo maelezo yako kuna jambo lolote linalo halalisha kuuwa maelfu ya raia wa palestina kila mwaka?, Je kuna jambo linalo halalisha kuweka mpaka watoto wa miaka 10 magerezani? ,Au yanahalalisha kuwavua watu nguo na kuwaacha uchi alafu unawarecod?

Ndio maana nasema naongea na kilaza asiye na akili hapa tunajadiliana mambo ya kuhusu mgogoro wa Israel na palestina ww unaleta mambo ya sijui misikitini sijui nini hivi una akili ww hayo mbambo yana uhusiano gani?

Udini na chuki za kidini zime kujaa kichwani mwako maana ww kila kitu unakichukulia kwa misingi ya kidini.
Umekomalia kusema Hamas wana pigania jihad hali ya kuwa hiyo sio sera ya Hamas , makundi yote yanayo dai kupigana hizo jihadi huwa hayana mipaka katika mashambulizi yake ,sasa nikuulize ni lini hamas ushasikia ikifanya operation zake nje ya mipaka ya Israel?

Israel imeudwa mwaka 1947 alafu ww unatuletea hadithi za kipindi cha Ottoman alafu unajiona unajua, nime kuuliza ni nani aliye vunja mkataba wa Oslo ambao ndo ungemaliza mzozo uliko mpaka sasa ujajibu zaidi ya kuruka ruka kwa maelezo mengi yasio na mantiki.

Kuishinda Hamas kwa silaha haiwezekani maana hamas ni itikadi ili uishinde hamas ni razima uje na itikadi bora zaidi ya wao , iwapo Israel ngekuwa inawatendea haki wapalestina sidhani kama Itikadi ya hamas iwapo na ushawishi wowote kwa wapalestina.

Alafu haki huwa inachelewa tu lakini mwisho wa siku huwa unapatikana kwahiyo ipo siku haki za wapalestina zitapatikana haijalishi itapita miaka mingapi na watakufa wapalestina wangapi ,na kila kitu kina mwisho haijalishi itapita miaka mingapi,mwaka 1975 ungemuambia mtu kuwa ipo siku utawala wa makaburu utaanguka angekuona kichaa lakini mwisho wa siku ulianguka tena kiurahisi mno.
Hao Wayahudi wenyewe hii amani waliyo nayo wameanza kuipata miaka 75 tu iliyo pita lakini wameteseka maelfu ya miaka, lakini cha kushangaza wao badala wawe mfano wa kuigwa katika kulinda haki za watu wao ndo wamegeuka kuwa wafanya maovu dhidi ya binadamu wenzao.

Mtu huwezi kujiita eti umeelimika ukashabikia ukoloni katika dunia hii iliyo sitarabika.

Mkuu umekosa Hoja.....Bila kujua Historia mtabakia mnababwaja tu.....Naona tukubali kutokubaliana....! Lensi unayoangalia nayo mambo ni tofauti kabisa na yangu.....Hebu tusubiri kesho hiyo uliyoitaja ambayo HAKI UNAYOSEMA ITAPATIKANA!..........Bila kujua in real sense hakuna real haki ulimwenguni!....Israel Haiwezi kutupwa baharini....Hizo ni ndoto za Alinacha....na za kufikirika....! You cannot wipe out 15,000,000 to the sea! Huo utabakia wimbo tu...na slogans za kuwalisha poor Arab masses.... Iran alikuwa na opprortunity hiyo sasa hivi kaipoteza....Mataifa ya Kiarabu yako kama 22 hivi na baadhi yao yana utajiri wa kutupwa...! Wako kimya....ni matamko ya kisiasa....Helping Hamas from remote! Itataendelea kuwa hivyo hivyo mkuu....hao ndio Waarabu...hawana strategic thinking from 1948......Ndio maana Myahudi anawazidi kete.....!

Narudia tena....Hao Waarabu walijaribu 1948....Wakashindwa....Jaribu 1967....Wakapoteza.....1973....Matokeo hayo hayo.....Sasa tena October 7......Ni yale yale....Ni mpuuzi na mjinga anayefanya jambo lile lile na kutegemea matokeo tofauti.....Nakba nyingine inaandikwa katika historia yao.....

Mkuu tukutane kwenye Mada nyingine.....Tukubali kutokubaliana !
 
Sikubaliani na ww kwamba katika kujitetea huwa kuna viwango.
Kwamba kabla HAMAS hajashambulia Israel, IDF ilikuwa ikivunja nyumba za Wapalestina huko Jenin West bank silkulisikia kwani mambo mengi huwa yanatangazwa rasmi katika vyombo vya habari. Kama ilikuwa ni siri baina yao mm nakubali s.jui.
Kwamba Israel settlers walipewa silaha........ sijui ww unazipata wapi hizo habari.
Nafahamu kwamba mahusiano baina ya nchi hizo mbili hayakuwa mazuri tangu zamani. Ile ya utupaji na kujibizana kwa makombora baina yao naifahamu. Lakini hii ya sasa HAMAS alijitokeza rasmi na kuanza mashambulio tar.7/0kt.2023.
Israel kwa defn. ya Ugaidi labda nkuulize anapingana na Serikali au Mfumo gani wa Kiserikali?
Una mambo mengi huyajui.
CGTN,ALJAZEERA ZOTE HIZO ZILITANGAZA ISRAEL IKIVUNJA NYUMBA JENIN REFUGEE CAMP OCCUPIED WEST BANK ILIKUA MNAMO AUGUST NA SEPTEMBER.
MIEZI HIYO HIYO ISRAEL SETTLERS WALIPEWA SILAHA WAKIUA PALESTINIAN FARMERS.
CGTN NA ALJAZEERA NI VYOMBO VYA HABARI VYA KIMATAIFA.
WAKATI HUO HOU KUNA WATU SI CHINI YA 2000 WALIKAMATWA RAMALLAH NA ISRAEL NA KUWEKA MILLITARY PRISON.
Turudi katika mzozo wa Palestine na Israel,Israel imekua ikiweka water and land blockade Gaza tangia 2006 na Israel imekua haitakua kukubali two state solution ilioletwa mezani Toka mwaka 1967 na PLO .
Na toka wakati huo wamekua wakiongeza eneo Siku hadi Siku mpaka kufikia sasa.
Katizame ramani ya 1947,1967,2005 na 2006 uone Palestina ilivyopunguzwa mpaka kuitwa Occupied west bank.
Israel Ina control mpaka wa maji mpaka wavuvi wa Gaza,Israel Ina control shughuli zote za uingizaji was bidhaa Gaza na West bank,Israel tokea mwaka juzi imerejesha tabia ya kuvunja maeneo na kufanya annexation kwa Palestine.
NDIO MAANA GUTTERES ALISEMA HAMAS ATTACK DIDN'T HAPPEN IN A VACUUM.
ISRAEL NDIO NCHI PEKEE YENYE WATOTO NDANI YA JELA ZA WATU WAZIMA.
TIZAMA CGTN,ALJAZEERA HATA FRACE 24 UTAHANARISHWA.
Tuje katika suala la kujitetea.
Hivi unajua Kuna Sheria ya kimataifa ya kivita???
Unajua kama Sheria ya kimataifa ya kivita hairuhusu kuua raia wasio na silaha ,watoto na wanawake na wazee????
Hivi unajua kama Sheria ya kivita hairuhusu kuvunja miundombinu muhimu kama ya hospitali na maji????
Hivi unajua kama Sheria za kivita haziruhusu ethnic cleansing na Genocide????
NDIO MAANA KUNA KITU KINAITWA WAR CRIMES.
NA WANAOCHUNGUZA HIZO WAR CRIMES NI ICC PROSECUTORS.
ISRAEL IMEUA WANAHABARI 86 MPAKA SASA IMEUA NA WAFANYAKAZI WA UN 134 MPAKA SASA JE HIZO SIO WAR CRIMES????
KASOME ZAIDI KIJANA KUNA MENGI HUJUI
 
Jeshi la Israel limefanikiwa kuwaweka chini ya ulinzi wanamgambo wa Hamas kikosi cha Shejaiya

Ni kikosi kikubwa ndani ya Hamas kilichohusika zaidi kwenye shambulio la October 7 kwa kurusha mamia ya roketi kuelekea Israel, Siku 3 zilizopita ngome kuu ya kikosi hicho iliyopo Wissam Farhat, iliteketezwa na Jeshi la Israel.

Raia wema wa kipalestina kwa sasa wapo Gaza kusini kwa muda na watarudi hapo baadae operesheni zitapomalizika.

Magaidi wa Hamas walipewa amri wavue nguo za nje kwa sababu za kiusalama ikiwemo kuchukua tahadhari dhidi ya mabomu ya kujitoa muhanga yanayoshonwa kwenye nguo.

Kinachoendelea ni aibu kwa israel unapiganaje na mgambo kwa miezi mitatu na unashindwa kukomboa watu wako kwenye kieneo kidogo vile, sasahivi netanyahu anaweweseka tu maana wenye ndugu zao wamekuja juu na military operation haijazaa chochote zaidi ya kupoteza credibility kwenye international community na hadi sasa marekani hamuelewi na haoni mafanikio yoyote so far israel imepoteza muelekeo .
Biden na netanyahu wameshaanza kutofautiana hadharani uonemungu alivyokuwa wa ajabu
Biden kamwambia aache kushambulia raia kwa ufupi hii movie yake ya hamas kusurrender kila mtu kaikataa , utoto wa hali ya juu , haya mateka wapo wapi???
 
Attachments

  • Screenshot_20231215-154724_Chrome.jpg
    Screenshot_20231215-154724_Chrome.jpg
    120.9 KB · Views: 1
Nenda AP ipo.Usitegemee hiyo kuona aljazira. Hata advance ya idf hawaipi airtime. Wao kuonyesha vitoto vimekufa na kujruhiwa ili kuwaonyesha dhuruma.kwa.watoto.
Wakati inajulikana duniani kote katika vita yeyote wanaoathirika ni watoto na wanawake.

View: https://youtu.be/TolTWCeyjf8?si=HieRYPZa82DHxBOd

Hao ni raia .
IDF waliwakamata na kumshikisha mmoja bunduki Ili ijulikane kama Hamas.
Katika kundi la watu wote hao huwezi kusalimisha silaha Moja tu
 
Sikubaliani na ww kwamba katika kujitetea huwa kuna viwango.
Kwamba kabla HAMAS hajashambulia Israel, IDF ilikuwa ikivunja nyumba za Wapalestina huko Jenin West bank silkulisikia kwani mambo mengi huwa yanatangazwa rasmi katika vyombo vya habari. Kama ilikuwa ni siri baina yao mm nakubali s.jui.
Kwamba Israel settlers walipewa silaha........ sijui ww unazipata wapi hizo habari.
Nafahamu kwamba mahusiano baina ya nchi hizo mbili hayakuwa mazuri tangu zamani. Ile ya utupaji na kujibizana kwa makombora baina yao naifahamu. Lakini hii ya sasa HAMAS alijitokeza rasmi na kuanza mashambulio tar.7/0kt.2023.
Israel kwa defn. ya Ugaidi labda nkuulize anapingana na Serikali au Mfumo gani wa Kiserikali?

View: https://youtu.be/xnaAcMcC_N8?si=ZxVyKyz3J0kYg11u

Kuhusu ubomoaji wa nyumba za Palestine haukuanza Leo video hiyo hapo.
Kuna mengi hujui kijana.
Halafu sio katika Kila vita watoto wanauawa kafuatilie vita ya ARMENIA NA AZERBAIJAN YA NAGORNO KARABAKH PIA FUATILIA OPERATION ANAZOZIFANYA TURKIYE NDANI YA SYRIA DHIDI YA PKK GROUP NA KURDISH FIGHTERS WANAOSHIKILIA MAENEO KASKAZINI MWA SYRIA HALAFU UNAMBIE KAMA RAIA WANAULIWA HOVYO.
MENGI HUJUI KIJANA
 
Sikubaliani na ww kwamba katika kujitetea huwa kuna viwango.
Kwamba kabla HAMAS hajashambulia Israel, IDF ilikuwa ikivunja nyumba za Wapalestina huko Jenin West bank silkulisikia kwani mambo mengi huwa yanatangazwa rasmi katika vyombo vya habari. Kama ilikuwa ni siri baina yao mm nakubali s.jui.
Kwamba Israel settlers walipewa silaha........ sijui ww unazipata wapi hizo habari.
Nafahamu kwamba mahusiano baina ya nchi hizo mbili hayakuwa mazuri tangu zamani. Ile ya utupaji na kujibizana kwa makombora baina yao naifahamu. Lakini hii ya sasa HAMAS alijitokeza rasmi na kuanza mashambulio tar.7/0kt.2023.
Israel kwa defn. ya Ugaidi labda nkuulize anapingana na Serikali au Mfumo gani wa Kiserikali?

View: https://youtu.be/txHOPymFCeA?si=l6HBuxA39Z27hXce
 
Kinachoendelea ni aibu kwa israel unapiganaje na mgambo kwa miezi mitatu na unashindwa kukomboa watu wako kwenye kieneo kidogo vile, sasahivi netanyahu anaweweseka tu maana wenye ndugu zao wamekuja juu na military operation haijazaa chochote zaidi ya kupoteza credibility kwenye international community na hadi sasa marekani hamuelewi na haoni mafanikio yoyote so far israel imepoteza muelekeo .
Biden na netanyahu wameshaanza kutofautiana hadharani uonemungu alivyokuwa wa ajabu
Biden kamwambia aache kushambulia raia kwa ufupi hii movie yake ya hamas kusurrender kila mtu kaikataa , utoto wa hali ya juu , haya mateka wapo wapi???

Aibu kwa nani Mkuu, Kwako....? Hivi kushindwa Vita ni aibu ( Ingawa huwezi kusema Israel imeshindwa) Amerika ilishindwa Vietnam...Japan ilishindwa World War 11.....Germany pia.....Argentina ilishindwa kwenye Falkland War....Ni aibu kwa nani? Wewe unaona ni aibu....kuna watu kwako proud kwa Israel inachowafanyia hao Jihadist! Ila Hamas kuingia na kuua non combatants...Sio Aibu....? Hivi Unategemea nini Kuanzisha Vita kwenye msongamano wa Watu kama huo....?

Hivi Hamas walipolianzisha walidhani ni nini hasa kitatokea....Wameitaka Vita, sasa Wakubali Matokeo....Hii movement ya kusimamisha mapigano ni ya nini sasa kama wanashindwa vita? Unaanzisha vita bila strategy ya kulinda raia wako! Huu ni upambuvu wa hali ya juu mno! Vita sio kumuua adui yako, bali hata kulinda raia wako! Kwangu mimi aibu iko kwa Hamas.....The number is going to 18,000! Na itaongeza,...

Halafu naona hujui kabisa politics za USA....anachokisema Marekani mbele ya Watu, na anachokifanya nyuma ya pazia ni tofauti kabisa! Unajua ni pesa kiasi gani Marekani ametoa recently kwa Israel? Unajua ni yeye Kapiga Veto kuzuia zoezo la kusimamisha Vita...Ikabidi liende kwa general Council ambayo haina meno yoyote ile!

Sioni Kabisa aibu unayoizungumzia...Is very easy to say stop the war...but how....Hasa kwa watu ambao wamekula yamini, na wanasema watafanya hivyo tena na tena kama kama wakipata nafasi.....

Hiyo War crime ya Israel utaisikia kwenye bomba tu....ni matamko ambayo huwa hayabadili chochote......Vita hii itaisha wala inchi moja haitakuwa imeongezeka kwa Wapelestina, na sasa wameanza kuzungumza kuhusu Two State Solution....Kitu ambacho wamekikataa mara nyingi....

Mkuu hiI Nakba nyingine ya kujitakia.....Wasubiri Intifada na kurusha mawe kuikomboa Gaza.
 
Kupigana na mgambo na kushindwa kukomboa raia wako kutoka kwa mgambo kwa zaidi ya miezi mitatu wakati una kila silaha na technology ni aibu
 
Jeshi la Israel limefanikiwa kuwaweka chini ya ulinzi wanamgambo wa Hamas kikosi cha Shejaiya

Ni kikosi kikubwa ndani ya Hamas kilichohusika zaidi kwenye shambulio la October 7 kwa kurusha mamia ya roketi kuelekea Israel, Siku 3 zilizopita ngome kuu ya kikosi hicho iliyopo Wissam Farhat, iliteketezwa na Jeshi la Israel.

Raia wema wa kipalestina kwa sasa wapo Gaza kusini kwa muda na watarudi hapo baadae operesheni zitapomalizika.

Magaidi wa Hamas walipewa amri wavue nguo za nje kwa sababu za kiusalama ikiwemo kuchukua tahadhari dhidi ya mabomu ya kujitoa muhanga yanayoshonwa kwenye nguo.

viva israel mtoa roho
 
Kupigana na mgambo na kushindwa kukomboa raia wako kutoka kwa mgambo kwa zaidi ya miezi mitatu wakati una kila silaha na technology ni aibu

Aibu kwa nani Mkuu.....? Israel inaripoti kwako? In Charge tumia japo common sense.....Wewe unajua Mateka wako wapi...? Tunashuhudia Nakba nyigine....Hatukuwepo 1948......

Haya, Hii ni Aljezeera.....angalia idadi ya Vifo......vyote vinasababishwa na ujinga wa wanamgambo.....Hii ndio naona nia aibu kubwa!

Gaza's Ministry of Health said on Thursday that at least 179 people had been killed and 303 wounded in Israeli attacks over the past day, bringing the death toll in Gaza since the war began on October 7 to 18,787 with 50,897 injured.1 day ago
Source: Dozens killed in Rafah strike as Israel pounds Gaza:
 
Kuua raia ni dalili ya kushindwa vita umeshindwa kuwa precise matokeo yake ndio hayo kachanganyikiwa hadi leo kaua raia wake mwenyewe , vita ya ardhini israel haiwezi na anaendelea kuaibika mbele ya ulimwengu
 
Wanamgambo 3000 ndo wanawasumbua Israel mpaka leo?
Sasa kama wanajificha kwenye mashimo kama panya Israel wafanyaje...wanaibuka wanashambulia kwa kushtukiza kisha wanazama tena humo ndani.
Ule mkakati wa Israel kupump maji ya bahari ndani ya mashimo ulikuwa kiboko tatizo wanahofia mateka wao nao watakuwa humo humo ndani.
 
Kuua raia ni dalili ya kushindwa vita umeshindwa kuwa precise matokeo yake ndio hayo kachanganyikiwa hadi leo kaua raia wake mwenyewe , vita ya ardhini israel haiwezi na anaendelea kuaibika mbele ya ulimwengu

Nadhani something is wrong with you! ..........Statistics as today........

Gaza's Ministry of Health said on Thursday that at least 179 people had been killed and 303 wounded in Israeli attacks over the past day, bringing the death toll in Gaza since the war began on October 7 to 18,787 with 50,897 injured.1 day ago

Kwa hiyo kufa kwa raia 18,787 ndio kushinda Vita......Ipe Hongera Hamas basi kwa hilo! .......Na kuabika mbele ya Ulimwengu una maana ipi...? Ulimwengu ndani ya ubongo wako? Umeulizia Bolivia....Chad.....Guatemala........Belize...Una sensa yoyote ile......! Labda ulimwengu wa nchi 22 za kiarabu.....ambayo wameiabisha Palestina kwa kutotoa msaada wowote! Imebidi US atoe litu kidogo kwa Egpty ili ifungue mpaka kuingiza misaada! Egpty hataki kabisa hata Hamas mmoja aingie, anajua wazi ataleta ugonjwa wa Moslem Brotherhood!

Facts: Gaza inaharibiwa! Itaanza upya tena....Hakuna chochote kile ambacho Hamas iimefanikiwa katika kusukuma agenda yake! Waarabu mataifa 22 wanaendelea kutoa laana, lakini wanashindwa kuchukua hatua yoyote ile!
Taratibu akili imeanza kuingia...Abu Mazrouk mara aseme tuko tayari kuitambua Israel.......mara akatae! Unajua kabisa hali imekua ngumu.....! Sijui nani anaibika....
 
Kuua raia ni dalili ya kushindwa vita umeshindwa kuwa precise matokeo yake ndio hayo kachanganyikiwa hadi leo kaua raia wake mwenyewe , vita ya ardhini israel haiwezi na anaendelea kuaibika mbele ya ulimwengu

Gaza destruction.....

1702687218411.png

1702687243495.png

1702687277675.png

Angalia jamaa walioshinda vita....!!
 
Mkuu sky soldier,
Tunaomba source ya habari hii?
Kuondoa utata tu maana wapo wanasema hao ni raia wakawaida.

Ahsante.

! Kwani hao Hamas wana nguo za kijeshi kama walivyo waisraeli? Si nao wanavaa kiraia tu! Tupe pia source ya wanaosema hao ni raia wa kawaida !
Lazima wamebanwa mbupu hao maana wenzao wamewafuata huko huko kwao, mtaa kwa mtaa, nyumba kwa nyumba, chumba kwa chumba, kitanda kwa kitanda na uvungu kwa uvungu!
 
Kuna raia Zaidi ya 300,000 bado wako gaza kaskazini na wengi walirudi kipindi cha usitishaji wa mapigano.

Walirudi kufanya nini wakati waliambiwa asionekane mtu kule?
 
Gaza destruction.....

View attachment 2843714

View attachment 2843715

View attachment 2843716

Angalia jamaa walioshinda vita....!!
leo taarifa zinasema 50% ya israel bombs where dumb meaning hayakuwa na target maalum hiyo ni dalili ya kwanza ya mtu asiyejua anachokifanya ataishia kuua raia na nyumba empty , na sio kutokomeza hamas kama anavyojidai mwisho wa aiku kaua hadi raia wake mwenyewe huo sasa ndio ujinga tunaosema, waarabu hilo eneo wana uwezo wa kuijenga kwa siku chache tu hawanaga njaa hizo nadhani unalijua hilo.

Ila so far idf imeshindwa kuwaokoa mateka wao na kuwaua baadhi

mepoteza wanajeshi wake na inaendelea kupoteza

Israel imepoteza heshima yake kwenye international community kwa kushindwa kupigana na hamas na kuokoa raia wakati imekuwa ikijinadi kama bingwa wa intelligence na vita
Imeongeza chuki na uadui kwa jews duniani kote na kuathiri hata uchumi wake na usalama wake kwani hakuna mtu atajisikia salama kwenda israel huku biashara zake na meli zinazoingia na kutoka kupitia suez canal zikishambuliwa na kufanya baadhi ya meli kutotaka kwenda israel ikiwemo biggest shipoing company maersk ambaye kasimamisha meli zake kupita suez canal specifically kwenda israel

Puma imegoma kurenew mkataba wake na israel national team

Haya ni madhara machache na yatazidi kuendelea
 
Back
Top Bottom