Sikubaliani na ww kwamba katika kujitetea huwa kuna viwango.
Kwamba kabla HAMAS hajashambulia Israel, IDF ilikuwa ikivunja nyumba za Wapalestina huko Jenin West bank silkulisikia kwani mambo mengi huwa yanatangazwa rasmi katika vyombo vya habari. Kama ilikuwa ni siri baina yao mm nakubali s.jui.
Kwamba Israel settlers walipewa silaha........ sijui ww unazipata wapi hizo habari.
Nafahamu kwamba mahusiano baina ya nchi hizo mbili hayakuwa mazuri tangu zamani. Ile ya utupaji na kujibizana kwa makombora baina yao naifahamu. Lakini hii ya sasa HAMAS alijitokeza rasmi na kuanza mashambulio tar.7/0kt.2023.
Israel kwa defn. ya Ugaidi labda nkuulize anapingana na Serikali au Mfumo gani wa Kiserikali?
Una mambo mengi huyajui.
CGTN,ALJAZEERA ZOTE HIZO ZILITANGAZA ISRAEL IKIVUNJA NYUMBA JENIN REFUGEE CAMP OCCUPIED WEST BANK ILIKUA MNAMO AUGUST NA SEPTEMBER.
MIEZI HIYO HIYO ISRAEL SETTLERS WALIPEWA SILAHA WAKIUA PALESTINIAN FARMERS.
CGTN NA ALJAZEERA NI VYOMBO VYA HABARI VYA KIMATAIFA.
WAKATI HUO HOU KUNA WATU SI CHINI YA 2000 WALIKAMATWA RAMALLAH NA ISRAEL NA KUWEKA MILLITARY PRISON.
Turudi katika mzozo wa Palestine na Israel,Israel imekua ikiweka water and land blockade Gaza tangia 2006 na Israel imekua haitakua kukubali two state solution ilioletwa mezani Toka mwaka 1967 na PLO .
Na toka wakati huo wamekua wakiongeza eneo Siku hadi Siku mpaka kufikia sasa.
Katizame ramani ya 1947,1967,2005 na 2006 uone Palestina ilivyopunguzwa mpaka kuitwa Occupied west bank.
Israel Ina control mpaka wa maji mpaka wavuvi wa Gaza,Israel Ina control shughuli zote za uingizaji was bidhaa Gaza na West bank,Israel tokea mwaka juzi imerejesha tabia ya kuvunja maeneo na kufanya annexation kwa Palestine.
NDIO MAANA GUTTERES ALISEMA HAMAS ATTACK DIDN'T HAPPEN IN A VACUUM.
ISRAEL NDIO NCHI PEKEE YENYE WATOTO NDANI YA JELA ZA WATU WAZIMA.
TIZAMA CGTN,ALJAZEERA HATA FRACE 24 UTAHANARISHWA.
Tuje katika suala la kujitetea.
Hivi unajua Kuna Sheria ya kimataifa ya kivita???
Unajua kama Sheria ya kimataifa ya kivita hairuhusu kuua raia wasio na silaha ,watoto na wanawake na wazee????
Hivi unajua kama Sheria ya kivita hairuhusu kuvunja miundombinu muhimu kama ya hospitali na maji????
Hivi unajua kama Sheria za kivita haziruhusu ethnic cleansing na Genocide????
NDIO MAANA KUNA KITU KINAITWA WAR CRIMES.
NA WANAOCHUNGUZA HIZO WAR CRIMES NI ICC PROSECUTORS.
ISRAEL IMEUA WANAHABARI 86 MPAKA SASA IMEUA NA WAFANYAKAZI WA UN 134 MPAKA SASA JE HIZO SIO WAR CRIMES????
KASOME ZAIDI KIJANA KUNA MENGI HUJUI