Gazeti la Jamhuri: Siri ya ugomvi wa Dk. Kigwangalla na Profesa Mkenda hadharani

Hao akina Shilole huyu Kigwangalla anawavua chupi halafu anataka hela ya kuhonga itoke Wizarani. We can't buy that shit
 
Desemba 31, mwaka jana Rais John Magufuli akiwa mapumzikoni katika Hifadhi ya Taifa ya Kisiwa cha Rubondo mkoani Geita aliwapa siku tano viongozi hao kupatana, vinginevyo angetengua uteuzi wao.
Hizi ni tuhuma nzito sana na ambazo kama zina hata asilimia 1 ya ukweli zingepasa Kigwangala atenguliwe mara moja... swali kubwa ni je katika haya yote upi ni ukweli na ipi ni siasa?
 
Je, Professor Adolf Mkenda, ana andaliwa kugombea ubunge wa Rombo 2020?

Na baadae kuteuliwa kuwa waziri?



Je, Mwanri, ana andaliwa kugombea ubunge wa Siha 2020?

Na baadae kuteuliwa kuwa waziri?
 
Miongoni ya mawaziri ambao siwaelewi, huyu ni mmoja wapo.....

Namuona yupo busy sana na social media, na mda mwingine anapost ujinga ujinga tu
Siyo tu kwamba anapost ujinga, ana sura ya kijinga hata kwa muonekano. Tatizo ni pale mtu mjinga anapopewa nafasi iliyostahili kushikwa na mtu mwelevu. Hapo hujiona anafaa.

Umri ule bado hajitambui kabisa! Ni kama kijana anaye barehe. Gazeti liko sahihi. Huyu na Nyarandu wote IQ moja tu! They look stupid!
 
Bonge moja la set up la kumtoa Kingwangala cabinet. Yaani anajipiga mkuki mwenyewe.

Subiri tutasikia kigwangalah out. Sababu ame overide madaraka ya PS, Dada Devota mdachi nadhani ndio jukumu lake kama head wa TTB kutangaza utalii.

Lakini dr asiyejuwa hospitali kaibuka mara paaaap anaanza kujenga mtandao wake wa wasanii kwa mgongo wa kutangaza utalii. Hili haponi atatolewa na ndio itakuwa historia kama kina makamba jr.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii wizara ina ulaji mwingi sana
Majungu hayataisha kila genge linalominywa linaibuka kivingine kupambana
 
Pesa za maliasili na utalii zinapigwa sana! Sijui raisi yuko wapi kuona hili...
 
Ok ila JAMHURI mie nawaomba mfuatilie na lile sakata la mfanyabiashara wa Shinyanga aliyewaachisha kazi RPC na Meneja wa TRA mkoa huo!

Hiyo kesi ilianza upya? Jamaa ni nani? etc
Huyo jamaa ni mkuria 1 hivi wa huko Sirari ana tu-lodge twingi tu Mwz, shy na sirari ila baada ya sakata hilo mbio zake acha tu
 

Anayoyafanya Kugwangala yanaonekana na huwa hayana tija. Nilipinga sana kupandisha wasanii mlima Kilimanjaro kuwa ni kuchezea pesa. Mengi anayofanya ni wizi wa wazi wazi
 
2015 kigwangala alikua supporter wa Membe,labda siku hizi anamkubali Magu.
dodge
 
Dk. Kigwangala usi panic brother!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…