Gazeti la Jamhuri: Siri ya ugomvi wa Dk. Kigwangalla na Profesa Mkenda hadharani

Kingwa anayoyafanya yote yana kimemo utoka nyumba nyeupe katibu mkuu ajiangalie, lakini pia naona kunadalili za kampeni za chini chini kuelekea uchaguzi mkuu kutumia wasanii angalia ziara ya Mondi Kigoma
Sio kimemo, tunatumia tunguli la Mzee mmoja, siwezi kumtupa. Mimi yeye na DAB ni wamoja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Enzi za JK kulikua na vita ya Katibu mkuu maliasili vs Waziri wake(Diallo) mpk Diallo alitaka kujiuzulu maana Katibu mkuu alikua ni jiwe kweli kweli.

dodge
 
Bukyanagandi,

Yani maprofesa wa Tanzania, walio wengi ni watu wahovyo sana, hata kama hapakuwa na mapatano, kitendo cha Kigwa kujitokeza hadharani kuzungumza kwa namna kuondoa mgogoro ilikuwa ni hekima kubwa, lakini approach ya huyu profesa kuendeleza mjadala wa mgogoro, sio tu nikumkosea heshima Rais lakini ni kielelezo, cha ubishi, ukaidi ulio tukuka, kwanza inaonesha yeye nichanzo cha mgogoro lakini pia hayuko tayari ku clear air hata baada ya tamko la mkuu wa nchi
 
Ok ila JAMHURI mie nawaomba mfuatilie na lile sakata la mfanyabiashara wa Shinyanga aliyewaachisha kazi RPC na Meneja wa TRA mkoa huo!

Hiyo kesi ilianza upya? Jamaa ni nani? etc
Unachomaanisha nae adakwe?
 

Different people but the same shit. Hela za umma zinachezewa sana.
Hao wanaotangaza utalii wanachaguliwa kwa vigezo gani?
Inatia aibu sana
 
Hizo zoote ni mbwembwe tu, hawa jamaa walikuwa wanagombania demu
 
Wale wasanii wanaowabeba ni magumashi tu. Wanakula hela za umma. Hawatangazi utalii wowote
 

Wana lumumba mliotetea matumizi mabaya ya hela za wizara ya utalii, tukutane hapa.
 
Hivi kwa mfano hili li sura lake hapa airport LA nini? Badala ya kuweka vivutio anaweka sura lake
Huyu MTU anapaswa aondolewe
Akaendelee na uongo wake was kogwanomics wakati yeye daktari
 
Hivi kwa mfano hili li sura lake hapa airport LA nini? Badala ya kuweka vivutio anaweka sura lake
Huyu MTU anapaswa aondolewe
Akaendelee na uongo wake was kogwanomics wakati yeye daktari
View attachment 1324952
Tangazo halina hata neno "TANZANIA", hao watalii wataota kama hapo kinachoongelewa ni nchi yetu. Umasikini wa fikra.

Anatangaza "NCHI", au anajitangaza "YEYE BINAFSI". Maana hata kwenye maneno pale chini ya Waziri wa maliasili ameondoa neno "TANZANIA", haijulikani waziri wa nchi gani.
 
Hivi karibuni alipeleka kundi la wasanii kukwea Mlima Kilimanjaro, lakini ni mmoja tu aliyefanikiwa kufika kileleni. Wengine, licha ya kushindwa, waliendelea kulipwa fedha kwa muda wote uliopangwa.
Gazeti hili linaanza kunitia shaka: juzi limeandika kuwa wasanii hawakulipwa kwa kumnukuu meneja wa Almas , leo wasema wasanii wanalipwa. Ni kama limeamua kupambana na kigwa.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…