Gazeti la Mwanahalisi: Makonda afadhiliwa na mataikuni wenye maslahi Ngorongoro. Atumia 6.2M ya malazi kwa siku

Chanzo cha taarifa yako tafadhali
 
Saizi ana Defender mbili new Mode kali sana!
Huyu jamaa mwacheni tu! Mwanza Capri point ana Apartments hatari na bado
Pharmacy kila kona ya nchi!
 
Luca umemaliza kila kitu Mkuu na kufanya members kama mimi kububujikwa na machozi mengi ya furaha na bashasha!!
 
Mbona ndogo muheshimiwa anajibana sana..
Lakini millions 6 kwa siku kwamba muheshimiwa anakula moyo au..hii chai
 
Mtaweweseka sana mwaka huu wakati Mwamba akiendelea kuteka mioyo ya mamilioni ya watanzania.Mwamba ni kipenzi cha watanzania ndio maana kila atuapo inakuwa kama nuru gizani
 
Ungeweka hiyo hoteli ili gharama zake zijulikane. Hata hivyo nyumba ya Mkuu wa Mkoa haipo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…