Gazeti la Mwanahalisi: Makonda afadhiliwa na mataikuni wenye maslahi Ngorongoro. Atumia 6.2M ya malazi kwa siku

Gazeti la Mwanahalisi: Makonda afadhiliwa na mataikuni wenye maslahi Ngorongoro. Atumia 6.2M ya malazi kwa siku

Mkuu wa mkoa wa Arusha anayepigiwa chapuo kuwa Rais wa nchi huko mbeleni anaishi hotelini huko arusha na kila siku anatumia million 6 na laki 2

Sasa hapo hajapewa nchi akijapewa nchi itakuaje na katiba hii mbovu viongozi wa umma muwe na huruma kidogo sasa ukipiga million 6.2 mara 30 jibu unalo
Chanzo cha taarifa yako tafadhali
 
Tanzania hii yote yanawezekana,maana baada ya kuteuliwa kuwa RC DSM alijarabati ofisi yake jwa gharama kubwa sana mamilioni sijui aliyatoa wapi,akaacha kutuumia VX za serikali akawa anabadilisha vibao vya Plate number za RC DSM kwenye ma range na ma lexus
Saizi ana Defender mbili new Mode kali sana!
Huyu jamaa mwacheni tu! Mwanza Capri point ana Apartments hatari na bado
Pharmacy kila kona ya nchi!
 
Acheni uzushi wenu,acheni kumpaka matope Mwamba Mwenyewe Paul Christian Makonda Kijana Jasiri kusini mwa jangwa la Sahara.natambua kuwa mnaumia sana mnapoona akiendelea kuchanja mbuga katika mioyo ya wana Arusha na kuendelea kukubalika,kuungwa mkono na kuwaletea maendeleo makubwa.najuwa hali hiyo inawaumizeni sana kwa sababu ninyi mlisema hawezi kuongoza jiji la Arusha.

Sasa mnashangaa namna jiji lilivyotulia na kusifika kwa kasi na mipango ya maendeleo.mpaka kufikia hatua viongozi mbalimbali kumpongeza Mwamba kwa uchapakazi wake uliotukuka.

Ndio sababu ya kuanza kutunga vihabari vya uzushi na uongo.hata hivyo hamuwezi kumkwamisha Mwamba Mwenyewe Paul Makonda wala kumkatisha Tamaa.
Luca umemaliza kila kitu Mkuu na kufanya members kama mimi kububujikwa na machozi mengi ya furaha na bashasha!!
 
Mbona ndogo muheshimiwa anajibana sana..
Lakini millions 6 kwa siku kwamba muheshimiwa anakula moyo au..hii chai
 
Tanzania hii yote yanawezekana,maana baada ya kuteuliwa kuwa RC DSM alijarabati ofisi yake jwa gharama kubwa sana mamilioni sijui aliyatoa wapi,akaacha kutuumia VX za serikali akawa anabadilisha vibao vya Plate number za RC DSM kwenye ma range na ma lexus
Mtaweweseka sana mwaka huu wakati Mwamba akiendelea kuteka mioyo ya mamilioni ya watanzania.Mwamba ni kipenzi cha watanzania ndio maana kila atuapo inakuwa kama nuru gizani
 
Hii ni kweli ?
Ingia chimbo utuletee za ndaani ndani kabisa
1000012563.jpg
 
Ungeweka hiyo hoteli ili gharama zake zijulikane. Hata hivyo nyumba ya Mkuu wa Mkoa haipo?
 
Back
Top Bottom