Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chanzo cha taarifa yako tafadhaliMkuu wa mkoa wa Arusha anayepigiwa chapuo kuwa Rais wa nchi huko mbeleni anaishi hotelini huko arusha na kila siku anatumia million 6 na laki 2
Sasa hapo hajapewa nchi akijapewa nchi itakuaje na katiba hii mbovu viongozi wa umma muwe na huruma kidogo sasa ukipiga million 6.2 mara 30 jibu unalo
Saizi ana Defender mbili new Mode kali sana!Tanzania hii yote yanawezekana,maana baada ya kuteuliwa kuwa RC DSM alijarabati ofisi yake jwa gharama kubwa sana mamilioni sijui aliyatoa wapi,akaacha kutuumia VX za serikali akawa anabadilisha vibao vya Plate number za RC DSM kwenye ma range na ma lexus
Yuko vizuri anajiwekezaSaizi ana Defender mbili new Mode kali sana!
Huyu jamaa mwacheni tu! Mwanza Capri point ana Apartments hataria
Pharmacy kila kona ya nchi!
Luca umemaliza kila kitu Mkuu na kufanya members kama mimi kububujikwa na machozi mengi ya furaha na bashasha!!Acheni uzushi wenu,acheni kumpaka matope Mwamba Mwenyewe Paul Christian Makonda Kijana Jasiri kusini mwa jangwa la Sahara.natambua kuwa mnaumia sana mnapoona akiendelea kuchanja mbuga katika mioyo ya wana Arusha na kuendelea kukubalika,kuungwa mkono na kuwaletea maendeleo makubwa.najuwa hali hiyo inawaumizeni sana kwa sababu ninyi mlisema hawezi kuongoza jiji la Arusha.
Sasa mnashangaa namna jiji lilivyotulia na kusifika kwa kasi na mipango ya maendeleo.mpaka kufikia hatua viongozi mbalimbali kumpongeza Mwamba kwa uchapakazi wake uliotukuka.
Ndio sababu ya kuanza kutunga vihabari vya uzushi na uongo.hata hivyo hamuwezi kumkwamisha Mwamba Mwenyewe Paul Makonda wala kumkatisha Tamaa.
Mtaweweseka sana mwaka huu wakati Mwamba akiendelea kuteka mioyo ya mamilioni ya watanzania.Mwamba ni kipenzi cha watanzania ndio maana kila atuapo inakuwa kama nuru gizaniTanzania hii yote yanawezekana,maana baada ya kuteuliwa kuwa RC DSM alijarabati ofisi yake jwa gharama kubwa sana mamilioni sijui aliyatoa wapi,akaacha kutuumia VX za serikali akawa anabadilisha vibao vya Plate number za RC DSM kwenye ma range na ma lexus
Siyo kweli.Hii ni kweli ?
Hizo gari ulimnunulia wewe? Ulikuwa unapeleka wewe?Huyo jamaa ana historia ya ufujaji na upigaji. Huko DSM alikuwa anabadili gari za kifahari Kila siku.
Ona ulivyo mjinga huwezi hata kuandika.kisa tu umbea na ushakunoko wa kizushi.Hata kama anatumia laki 6 kwa siku moja bado ni ushetani.
Huyu kijana hawa marahis nadhani anawaweka mfukoni
Ingia chimbo utuletee za ndaani ndani kabisaHii ni kweli ?
Mkuu vipi ile sumu ulisema alilishwa ilikuje tena ukapotea sana au ulidanganywa na wewe na source yako?Hii ni kweli ?
KIpenzi cha wajingaMtaweweseka sana mwaka huu wakati Mwamba akiendelea kuteka mioyo ya mamilioni ya watanzania.Mwamba ni kipenzi cha watanzania ndio maana kila atuapo inakuwa kama nuru gizani
Acheni umbea na kupenda kulishwa Matango pori.mnaacha kufanya kazi mnakalia umbea na uongo tujamaa hagusiki... nadhan ana siri za nchi zaidi ya siri ya mwenge...
Tafuta pesa acha kulalamika mkuu!!Saizi ana Defender mbili new Mode kali sana!
Huyu jamaa mwacheni tu! Mwanza Capri point ana Apartments hatari na bado
Pharmacy kila kona ya nchi!