Gazeti la Raia Mwema laripoti njama za kuiba pesa BoT wakati wa msiba wa Hayati Dkt. Magufuli

Bashiru hakwepi huu mtego πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mungu aliona mbali kuweka kifo.
Vinginevyo kuna watu wangetunyanyasa sana sijui kifo kisingekuwepo ingekuaje sijui maana daah
 
Bashiru hakwepi huu mtego [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Potelea mbali najua sipati hata mia kwa kusulubiwa kwake ila napenda kuona haki ikitendeka[emoji23][emoji23]
 
Mkuu mzigo ulikabidhiwa jana saa hii bado inner circle wanafanya thorough analysis hakuna jiwe litakalokaa juu ya jiwe.
 
Aisee nitaanza kununua magazeti, nitaanza na raia mwema
 
RaiaMwema siyo wajinga kama wewe kwamba watoe taarifa nyeti kama hii bila kuwa na evidence from reliable sources...

Habari za ugonjwa na mauti ya ndugu yenu Jiwe zilikuwa zina trend hivi hivi huku mkidai "evidence" na mkijitahidi kukanusha kanusha ovyo pasipo utaratibu nyie wwnyewe mkiwa hamna evidence kuwa ni mzima wa afya, hajafa...
 
Wapi nilipoandika hivyo?
Point yako hapo juu kwamba kigogo anawapeleka puta mafisadi as if kigogo ni mahakama, kigogo anatoa taarifa tu mamlaka husika zina vyanzo vya taarifa pia na kama zina meno basi taarifa zitafanyiwa kazi
 
Potelea mbali najua sipati hata mia kwa kusulubiwa kwake ila napenda kuona haki ikitendeka[emoji23][emoji23]
Hakika namwombea apatikane na hiyo kashfa avuliwe nyadhifa zote hana maana kabisa mrundi yule tena ndio alikuwa mkandarasi wa maupunbavu yote aliyokuwa anafanya Magufuli
 
Kuna lugha hutumika ' whistle-blowing' na kuwa credible lazima investigation ifanyike.

Na kwa wanahabari investigative journalism inahitajika. Ili mwanahabari asiwe biased.
 
Majungu tu haya hamna mtu anaye weza kuiba kijinga kiasi hiki. Mwisho wa siku lazima angetakiwa atoe maelezo ya jinsi fedha zilivyo tumika.

Za escrow zilikuwa nyingi kuliko hizi, unajua maelezo yake?
 
Naona vyombo vya habari vinaanza kufufuka!
Atlist na inatia moyo maana tulipoteza imani na vyombo vya habari, sijui tbc nayo itazinduka usingizini maana tbc ndio threat kwa taifa letu
 
No that was not my point.
Point yako hapo juu kwamba kigogo anawapeleka puta mafisadi as if kigogo ni mahakama, kigogo anatoa taarifa tu mamlaka husika zina vyanzo vya taarifa pia na kama zina meno basi taarifa zitafanyiwa kazi
 
Wewe f.al.a kabisa. Magazete ya Msiba na Mchange ambayo kila.siku ni kuchagua wanaohisiwa kumpinga Mwendazake yalidunda ila yaliyohoji tu utkufu wake walinyooshwa. Mawio, Mwanahalisi, Mwananchi et al
Mwenda zake kashafika anapostahili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…