Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu aliona mbali kuweka kifo.Hizi ndio wanaita freedom of speech, huyo mwandishi akiambiwa athibitishe maandishi yake with evidence not so sure kama ataweza.
Ni bora Mama Samia ajizoeshe mapema vijembe vya kigogo, chahali, Fatma karume, Maria Sarungi na mental case wengine kutoka twitter kuliko kuanza kuchekea nakala ambazo mwandishi hawezi toa ushahidi.
Iwe habari ya ukweli au la. Evidence is important vinginevyo ni kosa kisheria.
Akianza kuchekea mambo kama haya sio muda mrefu ataanza kusoma yeye mwenyewe kampa dada yake sijui shemeji yake tender za serikali huko kwao Chakechake.
Magufuli went overboard na media censorship but for the most alitaka waandishi wajikite kwenye habari za ukweli hata kama story aina uhusiano na serikali.
Sasa mama acheke na nyani halafu aone what headlines will follow soon, watanzania ni easily predictable sio watu wakuwachekea kabisa.
Busara ni kumwambia mapema msemaji mkuu wa serikali kwenye media moto ni uleule.
Kwani kigogo ni mahakama ya mafisadi?
Potelea mbali najua sipati hata mia kwa kusulubiwa kwake ila napenda kuona haki ikitendeka[emoji23][emoji23]Bashiru hakwepi huu mtego [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
President Samia alimweleza yule bwana CAG, taarifa zako ziwe wazi hasa za mashirika ya umma utayoleta. sio kuficha ficha.
bado hatujaelewa tu?
sisi wananchi ni haki yetu kujua muhstakabali wa mali zetu, serikali kama kuna mahala media wamezingua basi jambo la kwanza wakanushe kwa fact.
sio mambo ya leta evidence
RaiaMwema siyo wajinga kama wewe kwamba watoe taarifa nyeti kama hii bila kuwa na evidence from reliable sources...Hizi ndio wanaita freedom of speech, huyo mwandishi akiambiwa athibitishe maandishi yake with evidence not so sure kama ataweza.
Ni bora Mama Samia ajizoeshe mapema vijembe vya kigogo, chahali, Fatma karume, Maria Sarungi na mental case wengine kutoka twitter kuliko kuanza kuchekea nakala ambazo mwandishi hawezi toa ushahidi.
Iwe habari ya ukweli au la. Evidence is important vinginevyo ni kosa kisheria.
Akianza kuchekea mambo kama haya sio muda mrefu ataanza kusoma yeye mwenyewe kampa dada yake sijui shemeji yake tender za serikali huko kwao Chakechake.
Magufuli went overboard na media censorship but for the most alitaka waandishi wajikite kwenye habari za ukweli hata kama story aina uhusiano na serikali.
Sasa mama acheke na nyani halafu aone what headlines will follow soon, watanzania ni easily predictable sio watu wakuwachekea kabisa.
Busara ni kumwambia mapema msemaji mkuu wa serikali kwenye media moto ni uleule.
Point yako hapo juu kwamba kigogo anawapeleka puta mafisadi as if kigogo ni mahakama, kigogo anatoa taarifa tu mamlaka husika zina vyanzo vya taarifa pia na kama zina meno basi taarifa zitafanyiwa kaziWapi nilipoandika hivyo?
Subiri subiri ndio ngoma inaanzaCCM ni ukoo wa panya.
Hakika namwombea apatikane na hiyo kashfa avuliwe nyadhifa zote hana maana kabisa mrundi yule tena ndio alikuwa mkandarasi wa maupunbavu yote aliyokuwa anafanya MagufuliPotelea mbali najua sipati hata mia kwa kusulubiwa kwake ila napenda kuona haki ikitendeka[emoji23][emoji23]
Sinui atatumia akili gani kujinasuaBashiru hakwepi huu mtego [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Majungu tu haya hamna mtu anaye weza kuiba kijinga kiasi hiki. Mwisho wa siku lazima angetakiwa atoe maelezo ya jinsi fedha zilivyo tumika.
Atlist na inatia moyo maana tulipoteza imani na vyombo vya habari, sijui tbc nayo itazinduka usingizini maana tbc ndio threat kwa taifa letuNaona vyombo vya habari vinaanza kufufuka!
Point yako hapo juu kwamba kigogo anawapeleka puta mafisadi as if kigogo ni mahakama, kigogo anatoa taarifa tu mamlaka husika zina vyanzo vya taarifa pia na kama zina meno basi taarifa zitafanyiwa kazi
Mbinu atakayotumia hapo ni bora ajiue akaishi na magufuli huko kaburini πππSinui atatumia akili gani kujinasua
Mwenda zake kashafika anapostahiliWewe f.al.a kabisa. Magazete ya Msiba na Mchange ambayo kila.siku ni kuchagua wanaohisiwa kumpinga Mwendazake yalidunda ila yaliyohoji tu utkufu wake walinyooshwa. Mawio, Mwanahalisi, Mwananchi et al