Gazeti la Raia Mwema laripoti njama za kuiba pesa BoT wakati wa msiba wa Hayati Dkt. Magufuli

Gazeti la Raia Mwema laripoti njama za kuiba pesa BoT wakati wa msiba wa Hayati Dkt. Magufuli

Kigogo, Juma Lokole etc hawajasajiliwa na TCRA na wala maandishi yao hayabanwi na kanuni za sheria za media control. Wahusika wanaotajwa huko kama awajaridhika wanaweza kwenda shitaki wenyewe vituo vya polisi for defamation au kama ni bullying then serikali ije na sheria ya kukamata watu inaowajua kwa kuchafua wenzao online.

However, Tanzania Daima wanabanwa na sheria na kanuni za maudhui kwa sababu wamejisali kupasha habari ndani ya jamii.

Ukisoma hiyo habari yenyewe aina mizani hakuna mahala wamesema wametafuta mtu kutoka BoT, Bandari kutoa comment.

Wameitaja MNB (which is unlikely) wanaweza pata taarifa za bank; kutoa siri za transaction za wateja ni kosa, labda pale kunapokuwa na uchunguzi.

Hilo tu linakwambia habari yote ni yakupika.
Wewe mbona unaweweseka? au ni mmojawapo katika hiyo cheni ya hao 'majambazi wa kalamu'?

Hiyo ni habari ya kiuchunguzi usitegemee kila kitu kitawekwa wazi, ndio hizi mlikuwa hamzipendi hadi mkaamua kumteka na kumpoteza ndugu yetu Azory.

You're among of them.., si bure!
 
Kwa mtu mwenye talanta ya kutunga uongo kama wewe wala sishangai kusapoti habari kama hizo. Kigogo, Juma Lokole etc hawajasajiliwa na TCRA na wala maandishi yao hayabanwi na kanuni za sheria za media control. Wahusika wanaotajwa huko kama awajaridhika wanaweza kwenda shitaki wenyewe vituo vya polisi for defamation au kama ni bullying then serikali ije na sheria ya kukamata watu inaowajua kwa kuchafua wenzao online.

wewe ndio MUONGO number one hujui unalolisema au wawezakuta ndio Dotto James
unachopinga ni kipi wakati umeambiwa soma hilo gazeti hata hiyo Copy huelewi?
Siku ya Mapumziko trh 22 March Mkurugenzi wa TPA kahamisha pesa yao iliyokuwa BOT kwenda NMB kwa Matumizi ya kawaida bilioni 13.7 bado kuna Dola kibao halafu kuna bilioni 2.6 Matumizi ya Maendeleo kwa mwezi March tu, wakati TPA yote hawatumii hata bilioni 5
safari hii mtaziona rangi zote, Bandari mmezidi kuiba na Mama Samia atasafisha mliozoea kuiba awamu ya 5
 
Atlist na inatia moyo maana tulipoteza imani na vyombo vya habari, sijui tbc nayo itazinduka usingizini maana tbc ndio threat kwa taifa letu

Ule mradi wa biashara ya kuuza habari nyeti za nchi na serikali uliozibitiwa na JPM mpaka akaibuka Kigogo na uona ukirudi kwa kàsi,ari na ngufu mpya.
 
Magazeti imekuwaje mnaripoti mambo haya ya ufisadi.
Mmefufuka na nyie. Maajabu.
Anyhow, there's light in the tunnel end.
Mficha maovu keshatangulia sasa zama za uwazi zimerudi kwa kasi.
Asante nyingi kwa mheshimiwa Rais.
 
Za escrow zilikuwa nyingi kuliko hizi, unajua maelezo yake?

Escrow ni Watu walitumwa kufanya ujinga ule wakijua watalindwa. Huwezi kujituma kufanya ujinga huu wakati unajua huna wa kukulinda.
 
Hizi ndio wanaita freedom of speech, huyo mwandishi akiambiwa athibitishe maandishi yake with evidence not so sure kama ataweza.

Ni bora Mama Samia ajizoeshe mapema vijembe vya kigogo, chahali, Fatma karume, Maria Sarungi na mental case wengine kutoka twitter kuliko kuanza kuchekea nakala ambazo mwandishi hawezi toa ushahidi.

Iwe habari ya ukweli au la. Evidence is important vinginevyo ni kosa kisheria.

Akianza kuchekea mambo kama haya sio muda mrefu ataanza kusoma yeye mwenyewe kampa dada yake sijui shemeji yake tender za serikali huko kwao Chakechake.

Magufuli went overboard na media censorship but for the most alitaka waandishi wajikite kwenye habari za ukweli hata kama story aina uhusiano na serikali.

Sasa mama acheke na nyani halafu aone what headlines will follow soon, watanzania ni easily predictable sio watu wakuwachekea kabisa.

Busara ni kumwambia mapema msemaji mkuu wa serikali kwenye media moto ni uleule.
Mkuu uko pamoja na Kakoko?
 
Point yako hapo juu kwamba kigogo anawapeleka puta mafisadi as if kigogo ni mahakama, kigogo anatoa taarifa tu mamlaka husika zina vyanzo vya taarifa pia na kama zina meno basi taarifa zitafanyiwa kazi
waambie basi wafungulie Twitter km hawamuogopi Kigogo2014 na sisi tutoe mauoza yao yote
 
waambie basi wafungulie Twitter km hawamuogopi Kigogo2014 na sisi tutoe mauoza yao yote
Mimi pia nasubiri wafungue twitter mkuu tena free bila vpn na washushe bei ya bando maana wanatuonea sana
 
Hizi ndio wanaita freedom of speech, huyo mwandishi akiambiwa athibitishe maandishi yake with evidence not so sure kama ataweza.

Ni bora Mama Samia ajizoeshe mapema vijembe vya kigogo, chahali, Fatma karume, Maria Sarungi na mental case wengine kutoka twitter kuliko kuanza kuchekea nakala ambazo mwandishi hawezi toa ushahidi.

Iwe habari ya ukweli au la. Evidence is important vinginevyo ni kosa kisheria.

Akianza kuchekea mambo kama haya sio muda mrefu ataanza kusoma yeye mwenyewe kampa dada yake sijui shemeji yake tender za serikali huko kwao Chakechake.

Magufuli went overboard na media censorship but for the most alitaka waandishi wajikite kwenye habari za ukweli hata kama story aina uhusiano na serikali.

Sasa mama acheke na nyani halafu aone what headlines will follow soon, watanzania ni easily predictable sio watu wakuwachekea kabisa.

Busara ni kumwambia mapema msemaji mkuu wa serikali kwenye media moto ni uleule.
Alikuwa analinda wizi.matumizi yasiyofata taratibu ujenzi uwanja wa ndege chato.ununuzi wa ndege ,kufichua hasara za atcl .
Huwezi kupambana rushwa Kisha hutaki uandishi wa kiuchunguzi ufanye kazi.kuna mengi yatafumuliwa na Kuna mengi ameayaanzisha tutayaezi.ila uchafu uje beach bahari haitunzi uchafu
 
Hizi ndio wanaita freedom of speech, huyo mwandishi akiambiwa athibitishe maandishi yake with evidence not so sure kama ataweza.

Ni bora Mama Samia ajizoeshe mapema vijembe vya kigogo, chahali, Fatma karume, Maria Sarungi na mental case wengine kutoka twitter kuliko kuanza kuchekea nakala ambazo mwandishi hawezi toa ushahidi.

Iwe habari ya ukweli au la. Evidence is important vinginevyo ni kosa kisheria.

Akianza kuchekea mambo kama haya sio muda mrefu ataanza kusoma yeye mwenyewe kampa dada yake sijui shemeji yake tender za serikali huko kwao Chakechake.

Magufuli went overboard na media censorship but for the most alitaka waandishi wajikite kwenye habari za ukweli hata kama story aina uhusiano na serikali.

Sasa mama acheke na nyani halafu aone what headlines will follow soon, watanzania ni easily predictable sio watu wakuwachekea kabisa.

Busara ni kumwambia mapema msemaji mkuu wa serikali kwenye media moto ni uleule.
Unalinganisha gazet la raia mwema na facebook

Emb jipatie nakala yako siku ya jumatano uone nondo zilizopo hutaweza kuhoji utashi wa waandishi wake
Jiwe alifanikiwa kuwatishia amani ila sasa hivi madudu yote yataanikwa
 
Kitu inajadiliwa sasa hivi na Mtangazaji Nyanda wa Star TV akiwahoji wataalam wa bandari, wewe huku unatetea, Wanasema lazima watokee wakaguzi wa nje ambao nao wanapata taarifa za ubadhirifu kwa nje, mlizoea kuficha ubadhirifu
Nilichouliza ni authenticity ya habari muhusika akiitwa TCRA anaweza toa ushahidi? Kusaidia upelelezi?
 
Mimi pia nasubiri wafungue twitter mkuu tena free bila vpn na washushe bei ya bando maana wanatuonea sana
yaani ningeipata anwani ya huyu Rais wangu ningemtuma akambane yule Mama mwanajeshi wa TCRA aliyeifungia Twitter
hata hiyo Mungu atawezesha ili hawa wezi waumbuke, Miaka 6 waliyoiba na kutufumba mdomo sasa basi
 
Mibox ya zawadi kibao kumbe mijambazi tu.
Soon tutaona mabalaa
 
Back
Top Bottom