Ettore Bugatti
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 4,123
- 8,242
Wewe mbona unaweweseka? au ni mmojawapo katika hiyo cheni ya hao 'majambazi wa kalamu'?Kigogo, Juma Lokole etc hawajasajiliwa na TCRA na wala maandishi yao hayabanwi na kanuni za sheria za media control. Wahusika wanaotajwa huko kama awajaridhika wanaweza kwenda shitaki wenyewe vituo vya polisi for defamation au kama ni bullying then serikali ije na sheria ya kukamata watu inaowajua kwa kuchafua wenzao online.
However, Tanzania Daima wanabanwa na sheria na kanuni za maudhui kwa sababu wamejisali kupasha habari ndani ya jamii.
Ukisoma hiyo habari yenyewe aina mizani hakuna mahala wamesema wametafuta mtu kutoka BoT, Bandari kutoa comment.
Wameitaja MNB (which is unlikely) wanaweza pata taarifa za bank; kutoa siri za transaction za wateja ni kosa, labda pale kunapokuwa na uchunguzi.
Hilo tu linakwambia habari yote ni yakupika.
Hiyo ni habari ya kiuchunguzi usitegemee kila kitu kitawekwa wazi, ndio hizi mlikuwa hamzipendi hadi mkaamua kumteka na kumpoteza ndugu yetu Azory.
You're among of them.., si bure!