Gazeti la Uhuru lamalizika sokoni tangu saa 2 asubuhi, Wasomaji walisaka hata kwa dau kubwa

Mwendazake alikiweka hiko chama mfukon hakukua nawakupinga
 
Acha upopoma
Katiba inampa Mama Samia uhuru wa kugombea tena 2025
 
Wewe hujui historia ya nchi hii, gazeti la Uhuru lilikuwa linanunuliwa nakala zote hadi kufikia saa mbili asubuhi. Hii kidorora kimauzo imekuja miaka hii lkn hata miaka ya 1990 lilikuwa linanunuliwa lote, sijui wakati huo ulikiwa wapi
 
Kwa hiyo labda tutamuona siku moja rais anatoroka Ikulu usiku wa manane.

Kwa nini gazeti limenunuliwa kwa wingi namna hiyo?

Kuhusu urais mwaka 2025,Samia Suluhu amesema atamwachia Mungu aamue.

Tayari Mungu ameshaamua. Mungu kawafukuza watu kazi watu watatu.

Lakini, seriously,nimeitazama hii video ya mtu anaburuzwa na pikipiki Tanga,wazo langu la kwanza lilikuwa"Samia Suluhu ajiuzulu"

Haya ndiyo mambo yalitokea Texas,wazungu walimburuta Nigger. Next thing tukaona Barak Obama amekuwa rais wa Marekani.

Ndio hapo unasema watu wale wakabidhiwe kwa shetani kwa sababu wanafanya Dini ya Shetani ipate sifa mbaya.
 
Inawezekana mawazo ya mtu mmoja ndio yaliyotengeneza hiyo habari kwenye gazeti, kama ni hivyo, je, hilo gazeti halina mhariri mkuu? au nae alipozwa?

Ningependa niione ili niisome hiyo habari nione kama kuna kiongozi mwandamizi waliyemnukuu toka kwenye chama chao mwenye inside info.

Vinginevyo, huo kweli unaweza kuwa mchezo umesukwa na wahafidhina waliokuwa wanambania Samia asiwe Rais.

Kwa upande mwingine, binafsi namuona Samia amechoka, both kimwili na kiakili, na hata haya yanayojitokeza siku hizi ukiwemo ule udhaifu wake kujibu maswali kwenye mahojiano na BBC, yalisababishwa na yeye kuwa mzito kufuatilia mambo yanayoendelea kwenye serikali yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…