Valentina
JF-Expert Member
- Oct 12, 2013
- 24,684
- 28,777
Hapo kwenye adamu na hawa ndo walimaanishaje?Bwashee hilo tumevutiwa na kile kichwa cha habari leo tumeamua tulisome gazeti "adam na hawa".
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo kwenye adamu na hawa ndo walimaanishaje?Bwashee hilo tumevutiwa na kile kichwa cha habari leo tumeamua tulisome gazeti "adam na hawa".
Yani ndio gazeti mama la yote. Kuwa ndio gazeti la kwanza kuanzishwa Tanzania.Hapo kwenye adamu na hawa ndo walimaanishaje?
Ooh kumbe ndohivoYani ndio gazeti mama la yote. Kuwa ndio gazeti la kwanza kuanzishwa Tanzania.
😆😆😆View attachment 1888439
Tutaangalia nani anajua kujiliza zaidi, wewe au Lijualikali
Mwendazake alikiweka hiko chama mfukon hakukua nawakupingaAiseee alert hiyo ndani ya chama. Ajue kuwa anaandaliwa kisaikolojia.
CCM bana, hili chama hapo tu ndiyo huwa nalielewa.
Hakuna mkubwa ndani ya chama. Niliweka uzi wakora wakaufuta. Nikieleza hakuna mtu kama mtu awezaye kukishinda hiki chama.
Kuanzia Nyerere hadi hao walio mfuatia.
Shikamoo CCM.
Acha upopomaWanaficha aibu yao. Wanamsemea mama kuwa hatagombea 2025 wakati ndio kwanza kaanza kunogewa na Airbus kuzunguka nchi na dunia.
Yani wanataka mama aache raha zote hizo baada ya miaka 4 tu.
Sitostaajabu baada ya 2025 watatokea watu 'kumuomba' mama agombee tena hata kama katiba hairuhusu. Na kwa jinsi mama alivyomsikivu atakataa kidogo halafu atakubali kama alivyofanya rafiki yake Kagame Rwanda.
Halafu Uhuru wanataka kumsingizia mama kuwa hatogombea, they are not serious.
For future use
Yani ndio gazeti mama la yote. Kuwa ndio gazeti la kwanza kuanzishwa Tanzania
What's your point?
Please read about the oldest newsletter in TanganyikaWhat's your point?
Who said Tanganyika? And by the way mind the words "pre independence".Please read about the oldest newsletter in Tanganyika
Jamaa wameruka kimanga!Mitaani watu wanafurahia kinywaji tangu asubuhi.kisa gazeti [emoji1787]
Wewe hujui historia ya nchi hii, gazeti la Uhuru lilikuwa linanunuliwa nakala zote hadi kufikia saa mbili asubuhi. Hii kidorora kimauzo imekuja miaka hii lkn hata miaka ya 1990 lilikuwa linanunuliwa lote, sijui wakati huo ulikiwa wapiKwa mara ya kwanza katika historia ya nchi hii , leo gazeti la Uhuru limenunuliwa lote kabisa mitaani na kwisha kabisa huku wanunuzi wengi wakilisomea vyumbani mwao ili kutafuta utulivu na kuelewa zaidi maudhui ya gazeti hilo kwa leo.
Ikumbukwe kwamba kwa miaka mingi sana gazeti hili lilikuwa ndio gazeti la mwisho kwa mauzo kiasi cha kushangaza namna linavyoweza kujiendesha kwa kuuza nakala chache kila siku, huku vijana wengi wakiliita gazeti la "kufungia vitumbua"
Bado tunashang'aa kulikoni leo gazeti hili kutafutwa hadi kwa gharama ya tsh elfu 10 kwa nakala moja!
View attachment 1888254
Mwenye kazi na mstaarabu unasikiliza stori za wahuni kijiwenmnahangaika na mama nyie wahuni sana hamna kazi ya kufanya
Sasa Popoma mimi au wewe ambae hujaelewa nilichoandika. Na alieandika kuwa hatogombea mimi au gazeti la Uhuru??Acha upopoma
Katiba inampa Mama Samia uhuru wa kugombea tena 2025