CHARLES2016
JF-Expert Member
- Mar 22, 2016
- 376
- 435
Kama uliishi kwa hofu basi ulikuwa unaendesha maisha yako kimagumashi. Watu tulionyooka katika mambo yetu Wala hatukuwa na hiyo hofu!!Simkubali yule mama ila bora yeye kuliko Mzimu wa Shujaa.. Nani anataka kuishi kwa hofu tena
Sent from my RMX2103 using JamiiForums mobile app
Yaani kumliganisha Samia na JPM ni Kama mbingu na ardhi, yeye mwenyewe amekiri viatu vya mzee havimtoshi. Enzi za JPM Kama anahutubia utakuta watu wamekusanyika mbele ya TV wanafuatilia hotuba, Leo hii Sasa Samia anahutubia watu hawana hata habari [emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji2957][emoji2957]Magufuli hakuwa na ushawishi wowote wa kisiasa kama ilivyo kwa Samia pia alikuwa ni jambazi tu lilobahatika kutinga Ikulu.
Ukweli ni kwamba maadui wa Magufuli waliofurahia kifo chake ni wachache sana na karibuni wote hao ni wanufaika wa ufisadi kwa namna moja au nyingine. Kutaka kuwafurahisha hao hakukuongezei mtaji wa kisiasa. Wanaompenda JPM kwa dhati ni wengi mno na ukiwahuzunisha hao kwa kumkashifi JPM kama wanavyofanya wanasiasa uchwara ni kujichimbia kaburi kwenye ulingo wa siasa za Tz!! Mliokosea hapo jiandaeni kuaibika!! JPM japo hayupo lakini hakuna mwenye ubavu wa kuweza kuvunja misingi aliyoiweka!! Kwa mfano huwezi kuimba wimbo wa "Tanzania ni nchi maskini" halafu utegemee watu watakuitikia!!, Pia huwezi kuimba wimbo wa "kuwatishia watu na corona" halafu utegemee watu watakuitikia!! Huwezi kupambana na kivuli cha Magufuli na ukashinda!! Kama unabisha waulize wanaohamasisha chanjo za corona na uvaaji wa barakoa!!! Magufuli ni mwanasiasà aliyefanikiwa sana!! Huwezi kubomoa alichokijenga, na ukijaribu unajibomoa mweñyewe!!Kosa kubwa la Mama ni kukubali watu wamdhihaki Dkt Magufuli kutokana na kifo, yaani anaenda mpaka kupiga picha na Mange kimambi ambaye alikuwa ana ratibu mauaji ya Dkt Magufuli na baada ya kifo alifurahia. Yaani Mama kumsafisha inazidi kuwa ngumu sana. Yaani angejua alipaswa achukue ushauri kwa TISS badala ya kukurupuka kama alivyofanya. Yaani chuki huku mitaani ni kubwa mno.
Tatizo vichwa vyenu vimejaa maji hamjielewi.John acha hizo utawala huu unaboa sana eti winchi tani26,hawako serious na maendeleo wanachokitafuta ndicho wanachofanya.
Hujamaliza kujifunza,State apparatus ni moja; State apparati ni zaidi ya moja. Sijui ulimaanisha nini Mkurungwa!?
Ok wewe unayejielewa hawakujua kuwa winch ya tani 26 ingehitajika kuiñstal hizo gates,ndiyo waziri anasema ujazaji maji hauwezi anza kabla ya mwezi machi, shame on himTatizo vichwa vyenu vimejaa maji hamjielewi.
Tena wanajilaani. Dkt Magufuli alifanya vitu toka moyoni. Alijua shida za watu maskini. Alihimiza watu wafanye kazi kujipatia kipato. Yeye ktk maisha yake aliwahi kuwa chinga wa kuuza maziwa, alifahamu kabisa maisha ya watanzania wa kawaida na alifahamu nini maana ya mlo wa siku. Ila bahati mbaya wateule wa Mama yetu wengi wao hawayajui maisha yetu ya kubangaiza, leo kawafukuza chinga wote na wamemdanganya akakope hela aje awajengee sehemu za biashara yaani akakope wakati Dkt Magufuli alituhakikishia nchi yetu ni tajiri.Ukweli ni kwamba maadui wa Magufuli waliofurahia kifo chake ni wachache sana na karibuni wote hao ni wanufaika wa ufisadi kwa namna moja au nyingine. Kutaka kuwafurahisha hao hakukuongezei mtaji wa kisiasa. Wanaompenda JPM kwa dhati ni wengi mno na ukiwahuzunisha hao kwa kumkashifi JPM kama wanavyofanya wanasiasa uchwara ni kujichimbia kaburi kwenye ulingo wa siasa za Tz!! Mliokosea hapo jiandaeni kuaibika!! JPM japo hayupo lakini hakuna mwenye ubavu wa kuweza kuvunja misingi aliyoiweka!! Kwa mfano huwezi kuimba wimbo wa "Tanzania ni nchi maskini" halafu utegemee watu watakuitikia!!, Pia huwezi kuimba wimbo wa "kuwatishia watu na corona" halafu utegemee watu watakuitikia!! Huwezi kupambana na kivuli cha Magufuli na ukashinda!! Kama unabisha waulize wanaohamasisha chanjo za corona na uvaaji wa barakoa!!! Magufuli ni mwanasiasà aliyefanikiwa sana!! Huwezi kubomoa alichokijenga, na ukijaribu unajibomoa mweñyewe!!
Bwashee mbona povu la kutosha 😂😂😂Sukuma gang unajitesa bure!
Basi gombea wewe hiyo 2025.
Alibaka chaguzi sababu ya ujinga wake tu ila kimsingi hakuna mtu mwenye akili angemkataa Magufuli amchague LissuUmeulizwa mara nyingi hapo juu.Kwa nini huyo unayemueleza kwamba aliweza "kuuzika" alibaka chaguzi zote(serikali za mitaa na uchaguzi mkuu)?Huko kuuzika kunaonwaje na watu wengine?
Sasa kwa Samia ndio mnaweza kuondoa madarakani viongozi msiowataka?Samia hahitaji kukubalika na wananchi ili awe Rais 2025, Magufuli aliua kabisa mfumo wananchi kuwaondoa madarakani Viongozi wasiowataka
Kwa jinsi Magufuli alivyoharibu mifumo, Samia atashinda kwa asilimia kubwa zaidi kuliko Magufuli japo unasema hakubaliki
Mark my Words..
Kwao mnaopiga pesa maofisini humo Mama hana upinzani ila kwa sie waganga njaa wa mtaani tuna jambo letu tunataka tumfanye hapo 2025 kwenye ballot box!Mpaka sasa Mama hana Mpinzani, labda kama Katiba na Tume ya Uchaguzi itabadilishwa.. Otherwise she is there to stay mpaka 2030
Namsaidia kujibu niwie radhi.Jibu swali langu kwanza
Ni kweli lazma awe mpendwa sababu mnasafiri hovyo na kujilimbikizia perdiems wakati chuma aliwanyoosha ni ofisini tarehe 1-30..Kweli SAMIA anaendelea kuwa Rais wetu mpendwa, tena vyama vya upinzani visijisumbuwe kusimamisha wagombea ngazi yoyote maana vitakuwa vinajisumbua.
Sent from my SM-A022F using JamiiForums mobile app
Magufuli ni kama oil chafu yani ukiigusa lazma utachafuka tu! Kwa upumbavu unaoendelea sahizi ukipita hata kijiweni ukachomekea story za mama watu wanainuka wanaondoka wamefyonza😅Ukweli ni kwamba maadui wa Magufuli waliofurahia kifo chake ni wachache sana na karibuni wote hao ni wanufaika wa ufisadi kwa namna moja au nyingine. Kutaka kuwafurahisha hao hakukuongezei mtaji wa kisiasa. Wanaompenda JPM kwa dhati ni wengi mno na ukiwahuzunisha hao kwa kumkashifi JPM kama wanavyofanya wanasiasa uchwara ni kujichimbia kaburi kwenye ulingo wa siasa za Tz!! Mliokosea hapo jiandaeni kuaibika!! JPM japo hayupo lakini hakuna mwenye ubavu wa kuweza kuvunja misingi aliyoiweka!! Kwa mfano huwezi kuimba wimbo wa "Tanzania ni nchi maskini" halafu utegemee watu watakuitikia!!, Pia huwezi kuimba wimbo wa "kuwatishia watu na corona" halafu utegemee watu watakuitikia!! Huwezi kupambana na kivuli cha Magufuli na ukashinda!! Kama unabisha waulize wanaohamasisha chanjo za corona na uvaaji wa barakoa!!! Magufuli ni mwanasiasà aliyefanikiwa sana!! Huwezi kubomoa alichokijenga, na ukijaribu unajibomoa mweñyewe!!
Unauliza jibu!!Kwahiyo Lissu ndio alishinda?
Kuna muhuni Kama aliyekwapua trilion 1.5? Na akaenda kujenga uwanja wa ndege Chato bila kupitishwa na Bunge tena kwa kampuni yake?Fisadi unamchekelea mama kwa kuwa mmemwona ni zuzu .....lakini mkae mkijua nyinyi wahuni lazima tuwamalize tu