abulaaliyah77
JF-Expert Member
- Oct 13, 2021
- 1,750
- 1,158
Nan????bwashee mbna unamdhalilisha mwenzio?????
Sukuma gang unajitesa bure!
Basi gombea wewe hiyo 2025.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sukuma gang unajitesa bure!
Basi gombea wewe hiyo 2025.
CCM haikuimarika wakati wa Magufuli, labda useme ilishikamanisha zaidi na vyombo vya Dola ili kutisha watu.Nawasalimu Kwa Jina la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.
Huu ni uchambuzi mfupi tu wa "facts".
1. Samia alikuwa makamu wa Rais WA Rais Wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania hayati Dr JPJM. 2015-2020.
2. Magufuli alikuja kuliokoa jahazi lililokuwa linazama mikononi mwa Kikwete.
3. Magufuli alikuwa kiungo muhimu sana aliyeifufua CCM ambayo ilikuwa imejifia kwenye UFISADI, UDHAIFU na MAUCHAFU ya kila aina. Hata watu waliokuwa wanavaa manguo ya kijani walipigwa mawe.
4. Wakati wa Magufuli, CCM iliimarika na kustawi. Hata vijana wakapata hamasa ya kuishabikia.
5. Hayo yote yalifanyika kwa sababu, kwanza Magufuli alikuwa si mwanasiasa wa maneno maneno. Utendaji wake wa miaka mitano unajidhihirisha.
6. Samia hakuwahi kuwa na mvuto wa Kisiasa wakati wa Magufuli. Alibebwa bebwa tu. Hata watu wengi hawakumjua wala kumtilia maanani.
7. Samia sio president material. Hana ushawishi wa maneno wala wa vitendo. Hata akisimama jukwaani hana nguvu ya kisiasa.
7) (a) Hawezi kujipambanua kisiasa. Akigombea atafeli kabla hajaanza (isipokuwa tu labda kwa usaidizi wa state apparatus).
b) Hawezi kupambana katika ulingo wa Kisiasa. Ni mchovu.
c) Hana ushawishi kwa wananchi. Ushawishi ni karama ambayo hana. Hana kismati. (labda atumie uchawi na mapete ya kiganga).
d) Ameshawavuruga watu makundi kwa makundi (wamachinga, mamantilie, vijana, TOZO, Bandari ya bagamoyo, Bwawa la Nyerere, mgao wa umeme, maji pamoja na kurudisha mafisadi serikalini). Hili ni doa.
NB: CCM wakitaka waaibike 2025 wamuweke huyu mama. Watapata aibu ya karne.
Samia hana political merits.Alikua na soko kwa lipi?
Una hakika hawajui au umekariri?.Nchi haina usawa wakisiasa alafu ilo wewe ulioni kua ndo tatizo la wapinzani wengi kukaa kimya na mawazo yao.kungekua na demokrasia inayoeleweka tungeweza kua na hukumu sahihi tofauti na hii yako yakimagumashi iliyolemea upande mmoja.
Kama viongozi wa juu kama Waziri anaweza kuwapongeza majambazi kama akina Sabaya, CCM ina watu wa chini wanaojielewa?
CorrectUmenena kweli tupu,
Utaratibu wa aina ya kiongozi kama huyu ufutwe mara moja.....................
Wanaomshabikia na kumsifu kila kukicha ni kwa sababu ya matumbo yao; wakati walio kimya wana hasira zisizoelezeka
CCM ndio ambao hawajielewi kuliko hata Upinzani
Hawana muendelezo, kila mtu anakuja na lake
Kama sio kutumia manguvu na Bunduki kutisha watu, CCM ina ushawishi gani?
Au kama upinzani haujielewi kwa nini nyie msitoke huko CCM mnakolalamika mkaunda Upinzani unaofaa kama mna makende?
"(...labda atumie state apparatus)"Nawasalimu Kwa Jina la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.
Huu ni uchambuzi mfupi tu wa "facts".
1. Samia alikuwa makamu wa Rais WA Rais Wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania hayati Dr JPJM. 2015-2020.
2. Magufuli alikuja kuliokoa jahazi lililokuwa linazama mikononi mwa Kikwete.
3. Magufuli alikuwa kiungo muhimu sana aliyeifufua CCM ambayo ilikuwa imejifia kwenye UFISADI, UDHAIFU na MAUCHAFU ya kila aina. Hata watu waliokuwa wanavaa manguo ya kijani walipigwa mawe.
4. Wakati wa Magufuli, CCM iliimarika na kustawi. Hata vijana wakapata hamasa ya kuishabikia.
5. Hayo yote yalifanyika kwa sababu, kwanza Magufuli alikuwa si mwanasiasa wa maneno maneno. Utendaji wake wa miaka mitano unajidhihirisha.
6. Samia hakuwahi kuwa na mvuto wa Kisiasa wakati wa Magufuli. Alibebwa bebwa tu. Hata watu wengi hawakumjua wala kumtilia maanani.
7. Samia sio president material. Hana ushawishi wa maneno wala wa vitendo. Hata akisimama jukwaani hana nguvu ya kisiasa.
7) (a) Hawezi kujipambanua kisiasa. Akigombea atafeli kabla hajaanza (isipokuwa tu labda kwa usaidizi wa state apparatus).
b) Hawezi kupambana katika ulingo wa Kisiasa. Ni mchovu.
c) Hana ushawishi kwa wananchi. Ushawishi ni karama ambayo hana. Hana kismati. (labda atumie uchawi na mapete ya kiganga).
d) Ameshawavuruga watu makundi kwa makundi (wamachinga, mamantilie, vijana, TOZO, Bandari ya bagamoyo, Bwawa la Nyerere, mgao wa umeme, maji pamoja na kurudisha mafisadi serikalini). Hili ni doa.
NB: CCM wakitaka waaibike 2025 wamuweke huyu mama. Watapata aibu ya karne.
Anzisha chama kama CCM nayo haifaiAfu mimi sio CCM
John acha hizo utawala huu unaboa sana eti winchi tani26,hawako serious na maendeleo wanachokitafuta ndicho wanachofanya.Sukuma gang unajitesa bure!
Basi gombea wewe hiyo 2025.
Napita tu. ila umetohoaNawasalimu Kwa Jina la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.
Huu ni uchambuzi mfupi tu wa "facts".
1. Samia alikuwa makamu wa Rais WA Rais Wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania hayati Dr JPJM. 2015-2020.
2. Magufuli alikuja kuliokoa jahazi lililokuwa linazama mikononi mwa Kikwete.
3. Magufuli alikuwa kiungo muhimu sana aliyeifufua CCM ambayo ilikuwa imejifia kwenye UFISADI, UDHAIFU na MAUCHAFU ya kila aina. Hata watu waliokuwa wanavaa manguo ya kijani walipigwa mawe.
4. Wakati wa Magufuli, CCM iliimarika na kustawi. Hata vijana wakapata hamasa ya kuishabikia.
5. Hayo yote yalifanyika kwa sababu, kwanza Magufuli alikuwa si mwanasiasa wa maneno maneno. Utendaji wake wa miaka mitano unajidhihirisha.
6. Samia hakuwahi kuwa na mvuto wa Kisiasa wakati wa Magufuli. Alibebwa bebwa tu. Hata watu wengi hawakumjua wala kumtilia maanani.
7. Samia sio president material. Hana ushawishi wa maneno wala wa vitendo. Hata akisimama jukwaani hana nguvu ya kisiasa.
7) (a) Hawezi kujipambanua kisiasa. Akigombea atafeli kabla hajaanza (isipokuwa tu labda kwa usaidizi wa state apparatus).
b) Hawezi kupambana katika ulingo wa Kisiasa. Ni mchovu.
c) Hana ushawishi kwa wananchi. Ushawishi ni karama ambayo hana. Hana kismati. (labda atumie uchawi na mapete ya kiganga).
d) Ameshawavuruga watu makundi kwa makundi (wamachinga, mamantilie, vijana, TOZO, Bandari ya bagamoyo, Bwawa la Nyerere, mgao wa umeme, maji pamoja na kurudisha mafisadi serikalini). Hili ni doa.
NB: CCM wakitaka waaibike 2025 wamuweke huyu mama. Watapata aibu ya karne.
Kweli SAMIA anaendelea kuwa Rais wetu mpendwa, tena vyama vya upinzani visijisumbuwe kusimamisha wagombea ngazi yoyote maana vitakuwa vinajisumbua.Daaah hadi nakuonea huruma sukuma gang!
Na mama anaenda kukata mirija yenu yote mliyojiwekea na Marehemu wenu. Polee sana
Samia ndo Rais wako hadi 2030 kama huwezi vumilia rudi kwenu tu Burundi
Huyo sukuma genge mwenzako si ndiye aliyekuwa dicteta wa kutupwa alipendwa na nani c alikuwa analazimishwa tu kupendwa huku akitumia vyombo vya dola ,vilivyokuwa vikimsaidia kutesa na kupoteza watu na kutia maiti kwenye vipolo na kutupa baharini hayo hamuyaoni nyinyi sukuma genge .kwa tarifa yako hakuna aliyekuwa anampenda magufuli ila watu wanamuogopa magufuli na vyombo vyake vya dola alivyokuwa akivitumia vibaya, ujuwe hivyo ndivyo ilivyokuwaKivipi bwashee
Sijakuelewa. Hebu rudia upya.Huyo sukuma genge mwenzako si ndiye aliyekuwa dicteta wa kutupwa alipendwa na nani c alikuwa analazimishwa tu kupendwa huku akitumia vyombo vya dola ,vilivyokuwa vikimsaidia kutesa na kupoteza watu na kutia maiti kwenye vipolo na kutupa baharini hayo hamuyaoni nyinyi sukuma genge .kwa tarifa yako hakuna aliyekuwa anampenda magufuli ila watu wanamuogopa magufuli na vyombo vyake vya dola alivyokuwa akivitumia vibaya, ujuwe hivyo ndivyo ilivyokuwa
watu hawana ham na huyu mama tena, sjui kama wataweka mwanamke tena next time
State apparatus ni moja; State apparati ni zaidi ya moja. Sijui ulimaanisha nini Mkurungwa!?Hata Magufuli 2020 aligombea kwa state apparatus kwa nini isiwe kwa Samia?