Gazeti la Uhuru: Rais Samia hana wazo la kugombea Urais 2025

Ila Mama kama kazingua sana aisee... Em ngoja tusubiri..
Dah!!
 
Hoja ya Mleta Mada na hata maelezo yangu sio "CCM Bye bye" bali "Samia bye bye"!! Yaani anajidanganya muscles za akina Ndugai zitasababisha CCM kumpiga chini Samia!
SAMIA AMEKUWA KWENYE KAMATI KUU CCM TANGIA ENZI ZA RAIS MKAPA. ANAWAZIDI 95% CCM WA LEO KWA UZOEFU CHAMANI.
 
Yeah sure.
We will miss you bibi Samia
 
Wasiojulikana
 
Acha UCHAWA,

Kama wanapatana na kuwa kitu kimmoja,kwanini mnaweka wakurungenzi na mapolisi kuwa wasimamizi wa uchaguzi!
 
Ndugai vp tuliza ball!!
 
Hoja ya Mleta Mada na hata maelezo yangu sio "CCM Bye bye" bali "Samia bye bye"!! Yaani anajidanganya muscles za akina Ndugai zitasababisha CCM kumpiga chini Samia!
Ndugai and the company wana - muscles za kumtunishia m/kiti ccm!!!? Kweli!!?
Mi najua kwa hakika, kwa katiba iliyopo labda samia afe (God have mercy) lakn vinginevyo, atakuwa rais hadi 2030.
 
Hapo kama nimekuelewa fulani hivi.
Uchaguzi wa 2025 utakuwa ni wa kukata na shoka. Si lelemama hata kidogo.
 
Amewatoa akina Waitara akawaacha manyangumi wanaoutaka urais, akina Kassim.

Hana uwezo wa kuwafanya kitu manyangumi.She is hopeless fool.

 
Unaumwa sio bure samia ndo kila kitu na hao unaowaona sijui kundi gani hawana cha kumfanya hii ndo Tz hata waende upinzani hawashindi hata asilimia 30 ya kura
 
Una uhakika mwaka 2025 mazingira na mambo mengine yatakuwa sawasawa na mwaka 2015?
 
Pole sana,hayo ni mawazo yako,2025 samia yupo

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Hivi uko Tanzania hii kweli wewe?mnaielewa hii nchi kweli na mifumo iliyopo rais wa nchi kabisa unamfananisha na balozi wa nyumba kumi
Unaweza ukakuta unajibishana na mpuuzi tu. Muache amalizie bando lake basi.
 
Hapa unajifariji tuu,ila ukweli unajua nguvu ya SSH.
 
Acha UCHAWA,

Kama wanapatana na kuwa kitu kimmoja,kwanini mnaweka wakurungenzi na mapolisi kuwa wasimamizi wa uchaguzi!
Ndiyo maana halisi ya kitu kimoja wewe weweseka tu!
 
Unaota ndoto za mchana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…