chikambabatu
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 1,339
- 1,318
Ameuwa mradi gani?Analiponya taifa from what?
Mnajidanganya tu. Huyu bibi ni msanii.
Huwezi kuliponya taifa kwa TOZO na kuua miradi ya maendeleo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ameuwa mradi gani?Analiponya taifa from what?
Mnajidanganya tu. Huyu bibi ni msanii.
Huwezi kuliponya taifa kwa TOZO na kuua miradi ya maendeleo
Haki gani ilitendeka? Kimara Kwa sababu wamejaa wachaga na Chadema iliamriwa wabomolewe nyumba zao, mwanza Kwa wasukuma akasema wasibomoe Kwa sababu wamempa kura.Ni kitu wasichokielewa. Kwamba, Watanzania walijionea wenyewe huduma muhimu zikisogezwa karibu, haki kutendeka, maskini, yatima, kusaidiwa, migogoro ya ardhi, mashamba, nyumba maskini kutatuliwa. Elimu bure. Masoko ya madini nchi nzima.
Matajiri wachache kuchukua maelfu ya eka Tanga, Tanzania nzima aliwadhibiti, wakati mwingine alitumia ubabe ardhi nyingi ilirudishwa kwa Watanzania, wakagawia Watanzania maskini.
Wale washirika wa mabeberu kuhusu madini alipambana nao kama Huyu ndugu (Barms, Hamatan, Tundu lissu).
Mjane, yatima, mlalahoi, alisikilizwa na mkuu wa mkoa, wilaya RPC, Mkuu wa kata, waziri.
Akikujibu nitagg!Ameuwa mradi gani?
Yaani kingekuwa ni chakula labda tungesema JPM aliacha ameua hamu ya kula hata ukiaminisha watu kuwa hiki chakula ni kitamu kuliko cha jpm hakuna raia mwenye hamu nacho.Samia hahitaji kukubalika na wananchi ili awe Rais 2025, Magufuli aliua kabisa mfumo wananchi kuwaondoa madarakani Viongozi wasiowataka
Kwa jinsi Magufuli alivyoharibu mifumo, Samia atashinda kwa asilimia kubwa zaidi kuliko Magufuli japo unasema hakubaliki
Mark my Words..
Sema tungekuwa na wananchi imara !!!Ila kiukweli Samia hakubaliki Kwa watanzania wengi hasa tabaka la chini ! Fanya research ndogo tu mtaani kwako uone wananchi wa kawaida mtazamao kuhusu huyu rais utaona ! Achana na mashabiki wa mtandaoni wengi ni mihemko tu .
....tungekuwa na upinzani imara na unaojielewa angepata shida sana hiyo 2025 kama atagombea lakini Kwa wapinzani Hawa akina lema, sugu , lisu,mbowe, msigwa etl , CCM hata wamsimamishe nabii TITO anashinda tena kihalali kabisa.
Mimi niko na Samia Suluhu Hassan lakini afagilie mbali hawa Mataga.
Sisi kama Wapinzani tunataka CCM asilia tunayoijua ile ya akina Kinana na Nape.
Na sio ile ya Wauwaji wa Kihutu iliyokuwa ikiongozwa na Magufuli
Hakuna anayemtetea mama. Watu wanatii tu maagizo ya mwendazake kuwa endapo atashindwa kabisa kutekeleza majukumu yake ya rais basi mama ndo awe rais. chama tawala ni kitiifu sana kwa maelekezo ya msingi ya mwendazakeSamia hana merits. Huo ndio ukweli ndugu zangu.
Bibi yetu samia amepwaya mno hata tukimtetea vipi.
Habari njema ni kuwa magufuli mpya wa 2025 ni Samia. long live samiaNaunga mkono hoja. Samia tumuombee mungu nchi isitekwe na fisadi na mabeberu. Wamerukia na kumzunguka kwa nguvu na kwa papara.
Maskini samia sio hodari na mjuzi wa hila za vibaraka. Tumuombee aweze kutufikisha 2025 salama tuweze chagua magufuli mpya.
Kumbe p sometimes unapatamo akiliI'd like to differ, its the other way round,
na 2025...Utashangaa!.Siku ya Wanawake Duniani: Je, tuna Wanawake wenye sifa za Presidential Material?
Wanabodi, Leo ni Siku ya Wanawake Duniani, katika safari ya kuelekea usawa wa kijinsia, kuna wanawake wengi wenye sifa na uwezo, lakini wamenyimwa fursa za kushika nafasi za juu kisiasa kutokana na nyingi ya nafasi hizo, kuhodhiwa na wanaume, katika kitu kinachoitwa "mfumo dume!" Swali ni je...www.jamiiforums.com
P
Nawasalimu Kwa Jina la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.
Huu ni uchambuzi mfupi tu wa "facts".
1. Samia alikuwa makamu wa Rais WA Rais Wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania hayati Dr JPJM. 2015-2020.
2. Magufuli alikuja kuliokoa jahazi lililokuwa linazama mikononi mwa Kikwete.
3. Magufuli alikuwa kiungo muhimu sana aliyeifufua CCM ambayo ilikuwa imejifia kwenye UFISADI, UDHAIFU na MAUCHAFU ya kila aina. Hata watu waliokuwa wanavaa manguo ya kijani walipigwa mawe.
4. Wakati wa Magufuli, CCM iliimarika na kustawi. Hata vijana wakapata hamasa ya kuishabikia.
5. Hayo yote yalifanyika kwa sababu, kwanza Magufuli alikuwa si mwanasiasa wa maneno maneno. Utendaji wake wa miaka mitano unajidhihirisha.
6. Samia hakuwahi kuwa na mvuto wa Kisiasa wakati wa Magufuli. Alibebwa bebwa tu. Watu wengi hawakumjua wala kumtilia maanani.
7. Samia sio president material. Hana ushawishi wa maneno wala wa vitendo. Hata akisimama jukwaani hana nguvu ya kisiasa.
7) (a) Hawezi kujipambanua kisiasa. Akigombea atafeli kabla hajaanza (isipokuwa tu labda kwa usaidizi wa state apparatus).
b) Hawezi kupambana katika ulingo wa Kisiasa. Ni mchovu.
c) Hana ushawishi kwa wananchi. Ushawishi ni karama ambayo hana. Hana kismati. (labda atumie uchawi na mapete ya kiganga).
d) Ameshawavuruga watu makundi kwa makundi (wamachinga, mamantilie, vijana, TOZO, Bandari ya bagamoyo, Bwawa la Nyerere, mgao wa umeme, maji pamoja na kurudisha mafisadi serikalini). Hili ni doa.
NB: CCM wakitaka waaibike 2025 wamuweke huyu mama. Watapata aibu ya karne.
Duh...!. Mkuu auferet dominus , watu humu hatujuani in reality zaidi ya kijeiefu jeiefu!. Akili sio kitu cha mtu kupatamo, akili ni mtu anazo imebaki kuamua kuzitumia au kuziacha kabatini na kutembelea na an empty shell!.Kumbe p sometimes unapatamo akili
Sasa wewe huwa yanakukutaga yepi mpaka unatembeaga kwenye hii situation ya pili?Duh...!. Mkuu auferet dominus , watu humu hatujuani in reality zaidi ya kijeiefu jeiefu!. Akili sio kitu cha mtu kupatamo, akili ni mtu anazo imebaki kuamua kuzitumia au kuziacha kabatini na kutembelea na an empty shell!.
P
KwakwaniWaswahili wanasema ukiishi nyumba ya vioo usitake ugomvi wa mawe. Kwa kua umetangaza waziwazi na mapema vita na unaowatuhumu kutaka uraisi 2025 sasa kaa mguu sawa. Wenzio hua wanapigana kimya kimya sasa wewe ugomvi wa chumbani umeuleta sebuleni. Jiandae kupigwa vita nje nje na waziwazi kama ulivyoanza mwenyewe. Hili goma umelipiga mapema mnoooo.
Kwanizee wa galilaya amepanga kujitosa kwenye marathon ya2025🏃.Waswahili wanasema ukiishi nyumba ya vioo usitake ugomvi wa mawe. Kwa kua umetangaza waziwazi na mapema vita na unaowatuhumu kutaka uraisi 2025 sasa kaa mguu sawa. Wenzio hua wanapigana kimya kimya sasa wewe ugomvi wa chumbani umeuleta sebuleni. Jiandae kupigwa vita nje nje na waziwazi kama ulivyoanza mwenyewe. Hili goma umelipiga mapema mnoooo.
Mi naona ni mbali sn aondoke hata keshoWaswahili wanasema ukiishi nyumba ya vioo usitake ugomvi wa mawe. Kwa kua umetangaza waziwazi na mapema vita na unaowatuhumu kutaka uraisi 2025 sasa kaa mguu sawa. Wenzio hua wanapigana kimya kimya sasa wewe ugomvi wa chumbani umeuleta sebuleni. Jiandae kupigwa vita nje nje na waziwazi kama ulivyoanza mwenyewe. Hili goma umelipiga mapema mnoooo.
Yaani ukitaka kuona uchanga wa mtu kwenye siasa za Tanzania basi msikilize anaongea nini kuhusu Samia na 2025!!
Guys, moja ya sababu ambazo ma-CCM huwa wanatupiga sana bao ni namna wanavyo-handle mambo yao!!!
Huku nje unaweza kuona huko CCM kuna mtimbwalanyiko kweli kweli lakini haya majamaa yakishakutana tu Chimwaga, yanakuwa kitu kimoja!!
Hizi simulizi za CCM kuparaganyika, CCM kufa kibudu zilienea sana wakati wa kuelekea Uchaguzi Mkuu wa CCM mwaka 2012!!!
Tena wakati ule kulikuwa na vigogo kweli kweli waliokuwa wanaonekana ndo wanaenda kuichinja CCM... hawa ni pamoja na Lowassa, Chenge, na Rostam Azizi!!
Kuna wengine wakafikia hadi kusema JK anapigwa chini uenyekiti... sie wengine tukawa tunacheka tu!!!
Pamoja na rabsha zote hizo, wafuatiliaji wa siasa watakumbuka kilitokea nini!!
The Main Villain Himself, Edward Ngoyai Lowassa wakaja kumchinja na kumzika kabisa 2015!!!
Hayo ndo ma-CCM!!
Hivi mwaka huu CCM si wanafanya Uchaguzi wake mkuu?!
Subirini basi kama hamajasikia Samia huyo huyo akichaguliwa tena uenyekiti kwa 100%!!
Ndo Samia!"Guys" - ndo nini?