GDP figures za Kenya zinakuwa released leo

Tunaisubiri Mkuu
Nangoja kusikia Gdp figures za Kenya. Nasikia kwamba GDP ya Kenya imekuwa rebased na kwa hivyo size ya GDP itaongezeka significantly.

Kaeni mkao wa kula habari ikitoka nitapost humu.
 
Ukweli siku kwako ni matusi? Kuna kitu mnaexport chenye thamani ya jumla ya remittance kutoka kwa muarabu?
Kwa habari yako, most of the remittances zinatoka USA sio kwa waarabu huko.
 
Kwa habari yako, most of the remittances zinatoka USA sio kwa waarabu huko.
Dada zenu wanaongoza kufia uarabuni na wengine wanauzwa Libya utumwa usibishe

Hamna sector yoyote Kunyaland iliyoajiri wengi ukiondoa kilimo, bado hicho kilimo kilichoajiri zaidi ya 99% ya wakenya kinachangia almost zero kwenye gdp

Ila wakunya chini ya 1 million as diaspora wanachangia pesa nyingi kuliko wakunya million 58 back shithole πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Well said.
 
Wakunya million 58 wapo kwenye kilimo cha mawe πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Hio remittance naona imekuuma sana maana nyinyi hamna remittance kwa sababu Malazy hawapendi kuenda ulaya. Huwa mnapenda kubaki hapo Lazyland na kukaa vijiweni tu mkipiga soga.
 
Kitu gani?

Sector ipi imeajiri wakenya wengi?
Agriculture ndio imeajiri Wakenya wengi zaidi. Inayofuatia ni service sector. Service sector ya Kenya ni zaidi ya 50% of our Gdp
 
Hio remittance naona imekuuma sana maana nyinyi hamna remittance kwa sababu Malazy hawapendi kuenda ulaya. Huwa mnapenda kubaki hapo Lazyland na kukaa vijiweni tu mkipiga soga.
Wakunya million 58 wanalima mawe ndio maana pamoja na wingi wao kwenye kilimo bado mnakufa njaa πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Wakunya million 58 wapo kwenye kilimo cha mawe πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Kwa habari yako population census ya 2019 inaonyesha kwamba idadi ya Wakenya ni 47 million pekee. Hio 58 million utakuwa unazungumzia idadi ya Malazy maana nyinyi ndio mpo 58 million.
 
Agriculture ndio imeajiri Wakenya wengi zaidi. Inayofuatia ni service sector. Service sector ya Kenya ni zaidi ya 50% of our Gdp
Agriculture inachangia kiasi gani kwenye gdp?
 
Kwa habari yako population census ya 2019 inaonyesha kwamba idadi ya Wakenya ni 47 million pekee. Hio 58 million utakuwa unazungumzia idadi ya Malazy maana nyinyi ndio mpo 58 million.
Uongo, fake fake fake data ili Muwe na gdp kubwa πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… ndio akili zenu mbovu zilipowafikisha
 
So 90% of people contributing to that least amount to show! Na hapo maua ni mzungu na chai ni mzungu, avocado ni Tanzania

Sasa ninyi mnabaki na nini zaidi ya njaa?

Hakuna kitu mkenya kafanya kwenye agriculture sector pamoja na kujaa pomoni
 
It will be official, economy of Kenya will be more than twice that of Tanzania......poleni...hehehehe
Twice but cannot implement even a single small project that Tz implements on its own.
 
Nangoja kusikia Gdp figures za Kenya. Nasikia kwamba GDP ya Kenya imekuwa rebased na kwa hivyo size ya GDP itaongezeka significantly.

Kaeni mkao wa kula habari ikitoka nitapost humu.
Na tanzania wana rebase lini GDP yawexafika111Busd
 
Kenyan GDP is now $102bn after rebase. Wenye uelewa hapo mwanzo GDP ilikuwa ngapi before rebase maana tumeona figures nyingi sana humu ndani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…