Geita: Afariki dunia baada ya kuchomwa kisu mara 17

Geita: Afariki dunia baada ya kuchomwa kisu mara 17

Suley2019

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2019
Posts
2,203
Reaction score
5,610
1662121719688.png
Mkazi wa Lukirini, Kata ya Kalangalala, wilayani Geita, Amina Hassan (34) amefariki dunia wakati akipata matibabu katika Hospitali ya Mkoa wa Geita baada ya kudaiwa kuchomwa visu mara 17 maeneo mbalimbali na mume wake.

Kaimu kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, Ally Kitumbu amethibitisha kutokea kwa tukio hilo.
 
#HABARI Amina Hassan (34), mkazi wa mtaa wa Lukilini, Kata ya Kalangalala, amefariki dunia akipatiwa matibabu katika hospitali ya mkoa wa Geita baada ya kuchomwa visu zaidi ya 10 na mme wake usiku wa Agosti 30, 2022, na ameacha watoto wawili.

#AchomwaVisu17
#EastAfricaTV https://t.co/Cx2V3KZ0px
View attachment 2343193
Aisee.. Yaani wanawake wamegeuzwa sehemu ya majaribio ya makali ya visu au?? Wanaume akili zimehamia wapi??
 
Back
Top Bottom