Geita: Afariki dunia baada ya kuchomwa kisu mara 17

Geita: Afariki dunia baada ya kuchomwa kisu mara 17

Hakuna cha kiongozi wa dini, waziri au Raisi. Swala ni kuacha kuzini, hii dhambi ndo inawatesa sana watu na kuaangamia, Everything has a price to pay

Sent using Jamii Forums mobile app
Sidhani kama kuuwa mtu ndio suluhisho la zinaa. Mbona wameshauwawa watu wengi kwa sababu ya hiyo unayoita zinaa na bado uzinifu unaendelea tu? Sheria za dini zipo wazi kwa mke au mume kwanini zisifuatwe, na ikishindikana basi mnaachana kila mtu anaangalia maisha yake kuliko kutoa uhai wa mtu kiwepesi wepesi eti kisa amezini. Afu sio wote wanaowakuta wake zao au wame zao wanazini, kuna wengine wanakuwa wamehisi tu au wameambiwa kwamb mke wako au mume wako sio mwaminifu anatoka na mtu fulan basi mume au mke anachukua maamuzi ya kuuwa bila ushahidi wa jicho lake kushuhudia mkewe au mumewe akiwa anazini.

Sasa mwisho wake mtu anatoa roho ya mtu na yeye anaishia jela na kuharibu maisha yake.
 
Hata Bibi, Mama, Dada, Wadogo, Mkeo na watoto wako nao chai ni kitamu hivyo hivyo. Jitahidi kuwa na heshima na andika kistaarabu kuhusu wanawake na acha udharirishaji na uhuni mavi wa humu sio nzuri.
U r such a weak soul....pole sana.
 
Sawa ila jaribu kuandika kwa staha na heshima kuhusu wanawake bro. Hata kama hatujuani ila sio sawa ulivyoandika hivyo. Unadharirisha jua hata Mama yako naye ni mwanamke.
Wewe kama nimemtukana mama yangu wee kina kuuma nini. Sii mie na majini yangu kichwani. Siyo yako bwana.
U nd i myt not agree but atleast u know where i stand.
 
Geita asilimia kubwa ya watu wake wana tabia za hovyoo...na mara nyingi huwa wanajifanya wamevurugwa na maisha...ni ukweli usiopingika kuwa wasukuma huwa ni watu wa karimu sana hasa linapokuja suala la chakula😁😁...lakini tukubali na tukatae asilimia kubwa ya wasukuma wa geita ni watu wa hovyoooo...
 
HALAFU UTASIKIA IRINGA INAONGOZA KWA UKATILI WA KIJINSIA!!! VIONGOZI WA IRINGA ACHENI KUTAFUTA KIKI INAYOONGOZA NI GEITA NYIE LABDA KUNYWA ULANZI!!!

QUEEN SENDEGA UNAKUMBUKA UKIWA RC IRINGA ULIWAALIKA HADI ITV??

GEITA NDIO BABA LAO!
 
Wewe kama nimemtukana mama yangu wee kina kuuma nini. Sii mie na majini yangu kichwani. Siyo yako bwana.
U nd i myt not agree but atleast u know where i stand.
Acha mbwembwe wewe bwege. Jamaa amekueleza ukweli. Usipende kujiona mbabe wa mapenzi humu JF na kutukana mama zetu. Kuwa na heshima wewe lofa
 
Wewe kama nimemtukana mama yangu wee kina kuuma nini. Sii mie na majini yangu kichwani. Siyo yako bwana.
U nd i myt not agree but atleast u know where i stand.
Huna majini yoyote ni mshamba na limbukeni tu. Una usela mavi fulani hivi dogo pia inaonekana wewe ni kula kulala tu. Nakushauri, acha kudharirisha wanawake.
Wewe kama nimemtukana mama yangu wee kina kuuma nini. Sii mie na majini yangu kichwani. Siyo yako bwana.
U nd i myt not agree but atleast u know where i stand.
 
Back
Top Bottom