Geita: Afariki dunia baada ya kuchomwa kisu mara 17

Geita: Afariki dunia baada ya kuchomwa kisu mara 17

1
2
3
4
5
6
7
8
9
10
11
12
13
14
15
16
17

Huyu kweli kazidisha
 
Wanawake ni mashetani, ila katundu kao katamu kweli kweli
Unazungumzi nini hapo mkuu?

Sababu alipiga story na shetani ndio unamuweka kwenye kundi la mashetani?

Na pia unazungumzia those two forbidden fruits yaliyopatikana katika 'mti wa uzima' na 'mti wa kujua mema na mabaya' au unazungumzia matunda gani mkuu?

Majibu yako mkuu
 
Watu waje wajifunze kwetu Kagera mkoa wa watu civilised. Kagera mambo yanakua solved kisomi ati 😄
 
Hi sensa ilifeli wapi kuuliza Tunatumiaje Visu ?
Ukitendwa huwa unawaza nn ?
#HISIA
 
Duh hii sasa ni too much. Yan kila siku ni mauaji na chanzo ni mapenzi tu, kuna haja ya watu kupewa somo na viongozi wa dini ili kuangalia namna ya watu kutochukua hatua ambazo huleta madhara ya kifo. Inatakiwa watu wajazwe hofu mno juu ya dhambi ya kuuwa hata kama umekosewa.
Ndoa za mikataba ni wakati wake sasa
 
Mkazi wa Lukirini, Kata ya Kalangalala, wilayani Geita, Amina Hassan (34) amefariki dunia wakati akipata matibabu katika Hospitali ya Mkoa wa Geita baada ya kudaiwa kuchomwa visu mara 17 maeneo mbalimbali na mume wake.

Kaimu kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, Ally Kitumbu amethibitisha kutokea kwa tukio hilo.
Usidhamdharau mtu ametafuta pesa kwa taabu ili afurahie maisha wewe unamletea u mama j.
 
Mkazi wa Lukirini, Kata ya Kalangalala, wilayani Geita, Amina Hassan (34) amefariki dunia wakati akipata matibabu katika Hospitali ya Mkoa wa Geita baada ya kudaiwa kuchomwa visu mara 17 maeneo mbalimbali na mume wake.

Kaimu kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, Ally Kitumbu amethibitisha kutokea kwa tukio hilo.
Elimu ya mahusiano inahitajika kwenye jamii ili kukomesha/kupunguza huu ukatili
 
Back
Top Bottom