Geita: Afariki dunia baada ya kuchomwa kisu mara 17

Geita: Afariki dunia baada ya kuchomwa kisu mara 17

Afrika inaongoza kwa ukatili duniani, especially bongo. Huu ukatili huwezi kukuta mabara mengine may machache sana ukilinganisha na AFILIKA
 
sura inaonyesha kabisa hakuwa mtu wa kutulia.
Sasa acha akatulie kaburini huko
 
Huna majini yoyote ni mshamba na limbukeni tu. Una usela mavi fulani hivi dogo pia inaonekana wewe ni kula kulala tu. Nakushauri, acha kudharirisha wanawake.
Ume panic brother🤣🤣🤣🤣
 
Acha mbwembwe wewe bwege. Jamaa amekueleza ukweli. Usipende kujiona mbabe wa mapenzi humu JF na kutukana mama zetu. Kuwa na heshima wewe lofa
Acha kupanic brother...its just cyberspace🤣🤣🤣🤣
Usichukulie vitu pesono....hapa watu tunatoa stress za tozo.
 
Pole kwa ndugu,jamaa na marafiki,waliofikwa na msiba mzito huo.
Kama ni wivu wa mapenzi,jamani,tubadilike aisee,vifo vinatalaki,watu wanakufa wanaacha familia zao zikiwa bado zinawahitaji.Tubadilike,kama endapo itaonekana,jamaa alisalitiwa,wadada na wamama,wajue kua bado wanaume,hatujakubali hiyo hali ya kuchapiwa,matokeo yake,wengine wanaua kama option yao.Unaposaliti,unakua unajiamini kua hutakuja kukamatwa wala kugundulika,lakini let me tell you,there is a day.Tuache uzinzi,ni hatari.
 
#HABARI Amina Hassan (34), mkazi wa mtaa wa Lukilini, Kata ya Kalangalala, amefariki dunia akipatiwa matibabu katika hospitali ya mkoa wa Geita baada ya kuchomwa visu zaidi ya 10 na mme wake usiku wa Agosti 30, 2022, na ameacha watoto wawili.

#AchomwaVisu17
#EastAfricaTV https://t.co/Cx2V3KZ0px
View attachment 2343193
Jamaa alikua anafanya kazi buchani au?

R.I.P Amina Hassan
 
Somo lote hii jinsia ililopewa kuna ambaye mpaka sasa hajaelewa tu?

Basi tuendelee kuacha chuma ziendelee kutembea waje kustuka kila mmoja ana kovu wengine wakiitwa marehemu.
 
Back
Top Bottom