Geita: Afariki dunia baada ya kuchomwa kisu mara 17

Geita: Afariki dunia baada ya kuchomwa kisu mara 17

nasikia watu wa huko akipenda kapenda,anadondoka moja kwa moja,nadhani haya ndo madhara yake
 
Itakuwa jamaa aliambiwa hawa watoto sio wako
Au katika wanaume wakiambiwa watoke na ww utatoka niguse kama ww mwanaume ila wanawake mda mwingine.
 
Lala salama Amina.. Mapenzi ndio yamekatisha uhai wako.. Kama halikuwa kosa lako damu yako haitakubali kukaa kimya
Wanawake vyembamba vyeupe ni vichomi sana siku hizi.
Kiujumla wanawake hawashikiki.
 
Kifo cha huyu Dada kimeniuma sana,hebu fikiria visu 17.

Mtu unakuwa kama Mnyama bana Very sad!
 
Wanawake nawakumbusha tu. Ukikuta missed call arobaini kutoka kwa mumeo , beba vitu vyako haraka kimbia haraka sana,ukijifanya kuendelea kukaa itakuwa ni shauri yako
 
Aisee.. Yaani wanawake wamegeuzwa sehemu ya majaribio ya makali ya visu au?? Wanaume akili zimehamia wapi??
Wanaume wengi wamehamishia akili zao kwenye mpini wa kisu.

Hali ni tete
 
Afrika inaongoza kwa ukatili duniani, especially bongo. Huu ukatili huwezi kukuta mabara mengine may machache sana ukilinganisha na AFILIKA
Aisee usijidanganye, ushenzi na ukatili uko katika makontinenti yote. Chukua mfano wa India ndiyo utaona hasa, binti kama ametoa mahari kidogo kwa mume familia nzima inamnyanyasa na kumtesa hata kumuua. Na hayo matukio yanatokea mpaka kwa wale wahindi wasomi walioko nje ya India. Hata huko Marekani kila leo kuna watu missing, miili yao inapatikana wakiwa marehemu.
 
Hivi sheria inaruhusu kumnunulia mwenzi wako underwear yenye lock.
 
Wanawake nawakumbusha tu. Ukikuta missed call arobaini kutoka kwa mumeo , beba vitu vyako haraka kimbia haraka sana,ukijifanya kuendelea kukaa itakuwa ni shauri yako
Bado kubeba kutamchelewesha yeye aindoke tu kwani vitu kitu gani kuliko uhai.
Unaviacha tu akipenda akuletee mwenyewe.
 
Watu waje wajifunze kwetu Kagera mkoa wa watu civilised. Kagera mambo yanakua solved kisomi ati [emoji1]
Sehemu nzuri ya kujifunzia mambo ya ndoa Ni Lindi liwale kwa wangindo, hawana stress na mapenzi, nina miaka kumi huku sijawahi sikia mme kapiga mke Wala kinyume chake, sijawahi sikia watu kuuana sababu ya mapenzi, watu wa Kanda ya ziwa mko siriazi sana na nyenge, badirikeni
 
Back
Top Bottom