Geita: Afariki dunia baada ya kuchomwa kisu mara 17

Geita: Afariki dunia baada ya kuchomwa kisu mara 17

Mkazi wa Lukirini, Kata ya Kalangalala, wilayani Geita, Amina Hassan (34) amefariki dunia wakati akipata matibabu katika Hospitali ya Mkoa wa Geita baada ya kudaiwa kuchomwa visu mara 17 maeneo mbalimbali na mume wake.

Kaimu kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, Ally Kitumbu amethibitisha kutokea kwa tukio hilo.
Lala salama Amina.. Mapenzi ndio yamekatisha uhai wako.. Kama halikuwa kosa lako damu yako haitakubali kukaa kimya
 
pole kwa familia ya wafiwa ila wanaume hebu tupunguze hasira na tusizingatie sana hawa wanawake kweli kuna muda wanakera unatamani ufanye jambo baya ila hebu yanapotukuta majaribu kama haya tufikirie kuna maisha baada ya mambo hayo na wanawake wapo wengi tusifike sehwmu ya kudhuru au kutoa uhai wa mtu.
japo sijajua sababu ya tukio hilo ila naamini mapenzi yamehusika kwa asilimia kubwa
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mie simo bwana
[emoji1787][emoji1550]
JamiiForums-1759311991.gif
 
Duh hii sasa ni too much. Yan kila siku ni mauaji na chanzo ni mapenzi tu, kuna haja ya watu kupewa somo na viongozi wa dini ili kuangalia namna ya watu kutochukua hatua ambazo huleta madhara ya kifo. Inatakiwa watu wajazwe hofu mno juu ya dhambi ya kuuwa hata kama umekosewa.
Hakuna cha kiongozi wa dini, waziri au Raisi. Swala ni kuacha kuzini, hii dhambi ndo inawatesa sana watu na kuaangamia, Everything has a price to pay

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom