Aisee.. Yaani wanawake wamegeuzwa sehemu ya majaribio ya makali ya visu au?? Wanaume akili zimehamia wapi??#HABARI Amina Hassan (34), mkazi wa mtaa wa Lukilini, Kata ya Kalangalala, amefariki dunia akipatiwa matibabu katika hospitali ya mkoa wa Geita baada ya kuchomwa visu zaidi ya 10 na mme wake usiku wa Agosti 30, 2022, na ameacha watoto wawili.
#AchomwaVisu17
#EastAfricaTV https://t.co/Cx2V3KZ0px
View attachment 2343193
Swali gani hili?Aisee.. Yaani wanawake wamegeuzwa sehemu ya majaribio ya makali ya visu au?? Wanaume akili zimehamia wapi??
Aisee kazi ipo#HABARI Amina Hassan (34), mkazi wa mtaa wa Lukilini, Kata ya Kalangalala, amefariki dunia akipatiwa matibabu katika hospitali ya mkoa wa Geita baada ya kuchomwa visu zaidi ya 10 na mme wake usiku wa Agosti 30, 2022, na ameacha watoto wawili.
#AchomwaVisu17
#EastAfricaTV https://t.co/Cx2V3KZ0px
View attachment 2343193
Wivu wa mapenziMbona haujaeleza sababu za kuchomwa kisu, je ni mapenzi tena au ni nini?
Lakini pia haujaeleza kama mtuhumiwa alikamatwa au ametoroka.
Wanawake ni mashetani, ila katundu kao katamu kweli kweliKale katundu sio mchezo
Unawezakuta hata hakahusiki, hapa itakuwa ni 'mdomo uliponza kichwa'Kale katundu sio mchezo
Duh hii sasa ni too much. Yan kila siku ni mauaji na chanzo ni mapenzi tu, kuna haja ya watu kupewa somo na viongozi wa dini ili kuangalia namna ya watu kutochukua hatua ambazo huleta madhara ya kifo. Inatakiwa watu wajazwe hofu mno juu ya dhambi ya kuuwa hata kama umekosewa.Wivu wa mapenzi