Dr Rutagwerera Sr
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 5,809
- 11,462
Hayo mambo Mara na Mwanza. Kagera hakuna.Sehemu nzuri ya kujifunzia mambo ya ndoa Ni Lindi liwale kwa wangindo, hawana stress na mapenzi, nina miaka kumi huku sijawahi sikia mme kapiga mke Wala kinyume chake, sijawahi sikia watu kuuana sababu ya mapenzi, watu wa Kanda ya ziwa mko siriazi sana na nyenge, badirikeni
Bado wewe!Hali ni mbaya ,ndoa zimekuwa hatari
Ndoa hazijawa hatari usikuze mambo huyo ujinga wake umemuuwa,hili lingeweza kutokea hata kwa kaka na dada kwanini auze kitega uchumi cha familia?Hali ni mbaya ,ndoa zimekuwa hatari
What if Mwanaume alikuwa haudumii familia ? Wanaume wenzetu wa Geita wanatuaibisha sana,nimeishi Geita kama miezi 9 nilikuwa kila week nakutana na kesi za mwanaume kutelekeza familia au kumfukuza mke huku yupo na kichanga, kuna siku nimeenda fuel station moja akaja mwanamke amechoka akaniomba msaada wa chochote huku analia,kaachwa na mume huku ana kansa hivo amekatwa titi na yupo na mtoto mgongoniNdoa hazijawa hatari usikuze mambo huyo ujinga wake umemuuwa,hili lingeweza kutokea hata kwa kaka na dada kwanini auze kitega uchumi cha familia?
Huyo kafa kwa tamaa siyo kwa sababu ya ndoa yake.
Mim nin ?Bado wewe!
Jisu la bichwa!Mim nin ?