Geita: Baraza la Madiwani laukataa Mkoa mpya wa Chato

Sorry, mimi sio pro-mwendazake but huaga sipendi pia mtu kusingziwa; hivi kuna siku mwendazake aliwahi kusema kwamba anataka Chato iwe mkoa? I hope hili lilisikiwa mara ya kwanza wakati wa mazishi yake
 
[emoji23][emoji23][emoji23]watu walikua wanaendeshwa kwa remote control saivi wameanza kujirudi. Kwenye akili zao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Je kwa mwendo huu jina la Mwendazake litahifadhika kweli kwenye MAKABATI YOTE YA AFRIKA?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…