Geita isipojihadhari, itakuja kuachwa mbali sana na Njombe

Nimezunguka nchi yote hii hakuna sehemu kuna standards of living nzuri vijijini zaidi ya 1. Zanzibar (unguja island) 2.Iringa 3. Mbeya 4. Kilimanjaro 5. Njombe na hata kwenye per capita income hii ndio mikoa tajiri nchini sijui watu wanabisha nini
 
Mkoa wa njombe umejipanga Sana tuliwambia Wameteua eneo la makambako kwa uwekezaji na tayari wamesha anzisha BBT
 
Tanzania holds the potential to become a horticulture export powerhouse. With a strongly organised sector, supportive policy and geographical advantages, crops like avocado, peas and flowers can generate huge amounts of business and societal value. Flying Swans will support this development through the strategic development of temperature-controlled logistics facilities.

Like in other corridors, Flying Swans have developed a corridor vision (picture below) comprising multiple investments that leverage the existing infrastructure and production and can unlock the country's horticulture potential, starting with a hinterland consolidation facility.



50,000 ton
Avocado production
 
Mkoa Wenye Viwanda vitano vya Chai! Tena viwili vinamilikiwa na Wazawa.🔥🔥🔥🔥
 
SITAKAA NIISAHAU STAND KUU YA MABADI GEITA. SIJUI MVUA IKINYESHA INAKUAJE? HAPO KATORO BAR NDIO ZIMEJAA NA NDIZO NZURI KULIKO NYUMBA WANAZOISHI RAIA. MIKOA YOTE YENYE MADINI,MAENDELEO YOTE NI KWA WAGENI.
 
Bro sorry ila umedanganya chuma inapatikana Tanga, Morogoro na dodoma..na dodoma nimechimba na kuuzia viwanda vya cement kwa ajili ya raw materials...huko huenda ni migodi mikubwa but kwengine kupo vema.
 
Bro sorry ila umedanganya chuma inapatikana Tanga, Morogoro na dodoma..na dodoma nimechimba na kuuzia viwanda vya cement kwa ajili ya raw materials...huko huenda ni migodi mikubwa but kwengine kupo vema.
Tanzania chuma kipo sehemu nyingi funiko ni mkoa wa njombe una milima ya kutosha yenye chuma na makaa ya mawe ndo maana utaona wawekezaji wengi wanaenda mkoa wa njombe na chuma Cha njombe ni Bora zaidi kwenye soko la Dunia Huu ni mlima wa chuma liganga ludewa njombe haihitaji kuchimba
 
Unataka Geita iachwe umbali gani ndipo utoe tahadhari.Ilishaachwa na haiwezi kuifikia Njombe hata kwa nusu.
 
Mkoa wa njombe upo speed mno saiz njombe na makambako na sub town zingine zimesha ungana makazi ko geita kwa njombe mtasubiri
 
Mkoa wa njombe wapo serious na kujenga mji mkubwa nyanda za juu kUsini kutokana na fursa zinazowazunguka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…