Geita: Upendo Peneza akaripiwa na viongozi adharani, ni baada ya kutamka Chadema badala ya CCM wakati akihutubia

mdukuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
20,925
Reaction score
51,688
Huyu dada kama ilivyo msigwa,wako CCM kimaslahi ila kiroho na kimwili wako Chadema.
Akihutubua mkutano wa adhara mbele ya katibu mkuu wa CCM Emanuel Nchimbi na katibu wa itikadi na uenezi Amos makala,,Upendo peneza alijinasibu kuwa yeye ni chadema baadae akafuta kauli.
Baada ya mkutano kuisha akifokewa adharaniba kiongozi mmoja wa CCM mpaka machozi yakamtoka binti wa watu
Your browser is not able to display this video.
 
Usaliti ni laana
 
Tuliwaonya kuwa kama mumetoka Chadema zungumzeni mambo ya CCM yenu lakini kila kukicha hamna jipya kazi kuinanga Chadema na Mbowe matokeo yake ndiyo hayo hasa wewe Upendo na yule tumbili mwenzako Msigwa.
 
Yale yale ya Haji Manara. Siku zote kinywa cha mtu hutoa yaujazayo moyo wake.
 
Mnakuza mambo kitoto
 
Don msigwa

Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…