Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Hii ndio comedy sasa 😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujasikia wakimwambia kwa sauti, "CCM"Hujaweka ya alivyokaripiwa
Sidhani, na machozi jeHujasikia wakimwambia kwa sauti, "CCM"
Mbaya zaidi hakujistukia baada ya kutamka. Siasa hizi, hiiiiiiii, ahaaaa!😃
Msaliti ni mbowe baada ya kulamba asali pekeake bila kuwaonjesha nyie makapukuUsaliti ni laana
Eti hapendi kuiongelea chadema haha 😄 sasa asipoiongelea cdm ataongelea nini ,hawana 😄Huwa inatokea ila hapo inaonyesha kabisa wapo kwa ajili ya maokoto huko walipo kwasasa.
"Tumaini lipo ndani ya CHADEMA" - Msigwa
"Nafasi niliyonayo ndani ya CHADEMA" - Peneza
🤣🤣🤣🤣🤣
Njaa effect🤣🤣🤣🤣🤣
Nafsi zao zinawasuta.
CCM wananunua watu wa vyama vingine ndio matokeo haya ya kuaibika jukwaani ambao hawana asili ya itikadi yao ndio matekeo ya kuaibika jukwaani.Huyu dada kama ilivyo msigwa,wako CCM kimaslahi ila kiroho na kimwili wako Chadema.
Akihutubua mkutano wa adhara mbele ya katibu mkuu wa CCM Emanuel Nchimbi na katibu wa itikadi na uenezi Amos makala,,Upendo peneza alijinasibu kuwa yeye ni chadema baadae akafuta kauli.
Baada ya mkutano kuisha akifokewa adharaniba kiongozi mmoja wa CCM mpaka machozi yakamtoka binti wa watu
View attachment 3071735