Geita: Upendo Peneza akaripiwa na viongozi adharani, ni baada ya kutamka Chadema badala ya CCM wakati akihutubia

CCM mdomoni, Chadema moyoni! Angalizo kwa Wanasiasa hamahama; Japo ni haki yenu lakini msisahau fadhila. Kuweni watu wa shukrani, mtabarikiwa sana, vinginevyo karma Itawahusu! kitendo cha kuitaja Chadema kwenye mkutano wa CCM ndio kukumbuka fadhila kwenyewe.
P
 
Atatumiwa mpaka ashike adabu, Hana cha maana alichopeleka CCM, hakuwa, kiongozi mkubwa,aliondoka Silaa,akaondoka mashinji, chadema bado IPO, chadema ni idea, IPO mioyoni, you can't kill an idea, au, ideology kwa kuchukua makapi,kama wanaume wanatumiwa, wanatupwa, huyu penyeza, awake miguu vzr, atapanuliwa, mpaka kizazi kiishe,
 
Huyu binti ana akili mingi sana pia ana uwezo sana wa kuchambua mambo hata hotuba yupo safi
 
Upenda peneza alitoka maisha plus akaenda chadema wakampokea na kumfundisha siasa akapata Ubunge viti maalumu akapata ulaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…