Geita: Wamuua mama yao Kikongwe wa miaka 70 kisa tu wanataka urithi wa shamba

Geita ndio Mkoa hatari zaidi kwa Wazee barani Africa kwa sasa , ukifuatiwa na Mogadishu ya Somalia
 
Kanda ya Ziwa inatakiwa itubu sana,mambo ya kuua vikongwe yalishawalaani
Kwaio mjomba, ina maana sisi kanda ya ziwa ndo watenda dhambi sana eh?🤔
Kipindi cha mauaji mengi kule kusini mtwara n.k na wao walikua watenda dhambi sana af sa hv wameacha?
I think cha muhimu ni kuraise awareness kuhusu masuala kama ya ushirikina n.k yanayosumbua jamii. Hata ukishinikiza kutubu while mindset bado zipo negative hakuna solution hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…