Geita: Wamuua mama yao Kikongwe wa miaka 70 kisa tu wanataka urithi wa shamba

Hii ndio Kanda aliyotokea yule Rais Katili kuliko wote aliewahi kutokea Tanzania,damu za wakina Saanane na wengineo zotaendelea kuililia hiyo ardhi.
Na hao wachagga wanaoua wazazi wao kila siku nao wanatokea Geita ?
 
Shamba kweli wamuue mama yao kwa mapanga...lazima walipokua wanamcharanga alikuwa anawaita kwa majina yao akiwaomba wamwache...masikini watoto wale, waliisikia sauti ya maumivu ya mama yao lakin hawakuijali hadi nguvu zilipomuisha nakupoteza uhai.

Aridhi waliyoimwagia damu Italia juu yao!
 
Kuua kunatisha.

Kuua kwa makusudi kunatisha zaidi.
Kuua mama yako kunatisha, kunasititisha na kuogofya, na ni laana kubwa.

Kuna vijana wamemuua mama yao aliyewaleta duniani kwa kudai urithi wa shamba.

Kwa jadi hizi tunaweza kumwelewa mwendazake.

----
Watoto watatu wa familia moja wanashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani hapa kwa tuhuma za kumuua mama yao mzazi kwa kumkatakata na kitu chenye ncha kali kichwani na mkononi.

Watoto waodaiwa kumuua mama yao ni Jumbe Kifoda (36), Doto (34) na Rukina Kifoda (30).

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, Henry Mwaibambe leo Juni 2, 2022 amethibitisha kutokea kwa tukio hilo.

Amedai kuwa mauaji hayo yametokea usiku wa kuamikia Juni mosi, 2022 katika Kijiji cha Nyaruyeye, Kata ya Busanda wilayani Geita.

Kamanda amedai kuwa chanjo cha mauaji hayo ni watoto kudai shamba la urithi na mama kusema hawezi kutoa kwa kuwa ameshawalea na kuwataka waondoke nyumbani wakajitegemee.

Mwili wa marehemu umezikwa jana nyumbani kwake baada ya kufanyiwa uchunguzi.

Watuhumiwa watafikishwa kwenye vyombo vya sheria wakati wowote kuanzia sasa kujibu mashtaka yanayowakabili.

“Inadaiwa mama yaoaliwataka waondoke nyumbani kwake na alishawafukuza lakini wakawa wanarudi kudai mashamba ya urithi akawa anakataa wakawa wanamtishia kuwa watakuja kumuua kama hatawapa mashamba tunaamini hawa ndio wamemuua mama yao kwa kuwa mara nyingi watu wa kanda hii wakisema wataua ujue wataua kweli”

Mwaibambe amesema jeshi hilo limeandaa kikosi kazi cha kupambana na wauaji kwa kuwa mauji kama hayo yalikuwa yakitokea miaka ya nyuma na kudaiwa ni Imani za kishirikina lakini ukweli ni kuwa yanayochangia mauji kanda hii ni mengi ikiwemo mausuala ya urithi.

Kamanda amewataka vijana kujishughulisha na kutafuta mali zao wenyewe badala ya kuwa tegemezi kwa kutegemea urithi wa wazazi

Chanzo: Mwananchi
 
Kwani angewapa urithi wangemuua? AU KWANI ASINGEKUFA? Angeishi milele?
 
Mwisho wao utakuwa mbaya mpaka watatamani wafe wao mama yao awepo
 
Kuua kunatisha.

Kuua kwa makusudi kunatisha zaidi.
Kuua mama yako kunatisha, kunasititisha na kuogofya, na ni laana kubwa.

Kuna vijana wamemuua mama yao aliyewaleta duniani kwa kudai urithi wa shamba.

Kwa jadi hizi tunaweza kumwelewa mwendazake.

----
Watoto watatu wa familia moja wanashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani hapa kwa tuhuma za kumuua mama yao mzazi kwa kumkatakata na kitu chenye ncha kali kichwani na mkononi.

Watoto waodaiwa kumuua mama yao ni Jumbe Kifoda (36), Doto (34) na Rukina Kifoda (30).

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, Henry Mwaibambe leo Juni 2, 2022 amethibitisha kutokea kwa tukio hilo.

Amedai kuwa mauaji hayo yametokea usiku wa kuamikia Juni mosi, 2022 katika Kijiji cha Nyaruyeye, Kata ya Busanda wilayani Geita.

Kamanda amedai kuwa chanjo cha mauaji hayo ni watoto kudai shamba la urithi na mama kusema hawezi kutoa kwa kuwa ameshawalea na kuwataka waondoke nyumbani wakajitegemee.

Mwili wa marehemu umezikwa jana nyumbani kwake baada ya kufanyiwa uchunguzi.

ADVERTISEMENT
Watuhumiwa watafikishwa kwenye vyombo vya sheria wakati wowote kuanzia sasa kujibu mashtaka yanayowakabili.

“Inadaiwa mama yaoaliwataka waondoke nyumbani kwake na alishawafukuza lakini wakawa wanarudi kudai mashamba ya urithi akawa anakataa wakawa wanamtishia kuwa watakuja kumuua kama hatawapa mashamba tunaamini hawa ndio wamemuua mama yao kwa kuwa mara nyingi watu wa kanda hii wakisema wataua ujue wataua kweli”

Mwaibambe amesema jeshi hilo limeandaa kikosi kazi cha kupambana na wauaji kwa kuwa mauji kama hayo yalikuwa yakitokea miaka ya nyuma na kudaiwa ni Imani za kishirikina lakini ukweli ni kuwa yanayochangia mauji kanda hii ni mengi ikiwemo mausuala ya urithi.

Kamanda amewataka vijana kujishughulisha na kutafuta mali zao wenyewe badala ya kuwa tegemezi kwa kutegemea urithi wa wazazi

Chanzo: Mwananchi
Mitoto yote inashafikisha miaka 30 bado inaishi kwao
 
Updates zaidi kutoka Kanda ya Ziwa,zamu hii ni Geita..

Kwa mujibu wa Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoa wa Geita,Watoto watatu wamemuua mama yao mzazi kwa tuhuma za kukataa kuwarithisha shamba..

Wanaojiita watoto Wana Mika Kati ya 30-36 na bado wanaishi nyumbani kwa Mama yao.Pilisi inawashikilia watu hao kwa hatua zaidi za kisheria.

Maza kawatomua akiwabia kwamba amewalea na hivyo watoke kwake wakatafute vyao baada ya kukataa kuwarithisha shamba,wakiona isiwe tabu wakamuua kwa mapanga usiku..

Huko Kanda ya Ziwa kuna shida mahali sioa kawaida 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20220603-103931.png
    Screenshot_20220603-103931.png
    80 KB · Views: 5
  • Screenshot_20220603-103958.png
    Screenshot_20220603-103958.png
    45.9 KB · Views: 5
  • Screenshot_20220603-104019.png
    Screenshot_20220603-104019.png
    35.9 KB · Views: 5
View attachment 2248230
Picha: Kamanda wa Polisi Mkoani Geita Henry Mwaibambe

Kamanda wa Polisi Mkoani Geita Henry Mwaibambe amethibitisha tukio la Mwanamke mmoja mkazi wa kijiji na kata ya Nyaruyeye Wilayani Geita, Milembe Lutubija (70) kuuawa kwa kukatwa mapanga na watoto wake kwa madai ya watoto kuhitaji kupatiwa ardhi kama urithi kutoka kwa mama yao.
===

Watoto watatu wa familia moja wanashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani hapa kwa tuhuma za kumuua mama yao mzazi kwa kumkatakata na kitu chenye ncha kali kichwani na mkononi.

Watoto waodaiwa kumuua mama yao ni Jumbe Kifoda (36), Doto (34) na Rukina Kifoda (30).

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, Henry Mwaibambe leo Juni 2, 2022 amethibitisha kutokea kwa tukio hilo.

Amedai kuwa mauaji hayo yametokea usiku wa kuamikia Juni mosi, 2022 katika Kijiji cha Nyaruyeye, Kata ya Busanda wilayani Geita.

Kamanda amedai kuwa chanjo cha mauaji hayo ni watoto kudai shamba la urithi na mama kusema hawezi kutoa kwa kuwa ameshawalea na kuwataka waondoke nyumbani wakajitegemee.

Mwili wa marehemu umezikwa jana nyumbani kwake baada ya kufanyiwa uchunguzi.

Watuhumiwa watafikishwa kwenye vyombo vya sheria wakati wowote kuanzia sasa kujibu mashtaka yanayowakabili.

“Inadaiwa mama yaoaliwataka waondoke nyumbani kwake na alishawafukuza lakini wakawa wanarudi kudai mashamba ya urithi akawa anakataa wakawa wanamtishia kuwa watakuja kumuua kama hatawapa mashamba tunaamini hawa ndio wamemuua mama yao kwa kuwa mara nyingi watu wa kanda hii wakisema wataua ujue wataua kweli”

Mwaibambe amesema jeshi hilo limeandaa kikosi kazi cha kupambana na wauaji kwa kuwa mauji kama hayo yalikuwa yakitokea miaka ya nyuma na kudaiwa ni Imani za kishirikina lakini ukweli ni kuwa yanayochangia mauji kanda hii ni mengi ikiwemo mausuala ya urithi.

Kamanda amewataka vijana kujishughulisha na kutafuta mali zao wenyewe badala ya kuwa tegemezi kwa kutegemea urithi wa wazazi.

Chanzo: Mwananchi
😁😁😁😁 Sio kwamba tukio linachekesha bali angalia Umri wa watoto
 
Ni aibu sana vijana wenye nguvu kushindwa kwenda kutafuta maisha yao na kung'ang'ania mali za urithi zilizotafutwa na wazazi wao.

Acha sasa hayo mashamba wakalime huko gerezani.
 
View attachment 2248230
Picha: Kamanda wa Polisi Mkoani Geita Henry Mwaibambe

Kamanda wa Polisi Mkoani Geita Henry Mwaibambe amethibitisha tukio la Mwanamke mmoja mkazi wa kijiji na kata ya Nyaruyeye Wilayani Geita, Milembe Lutubija (70) kuuawa kwa kukatwa mapanga na watoto wake kwa madai ya watoto kuhitaji kupatiwa ardhi kama urithi kutoka kwa mama yao.
===

Watoto watatu wa familia moja wanashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani hapa kwa tuhuma za kumuua mama yao mzazi kwa kumkatakata na kitu chenye ncha kali kichwani na mkononi.

Watoto waodaiwa kumuua mama yao ni Jumbe Kifoda (36), Doto (34) na Rukina Kifoda (30).

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, Henry Mwaibambe leo Juni 2, 2022 amethibitisha kutokea kwa tukio hilo.

Amedai kuwa mauaji hayo yametokea usiku wa kuamikia Juni mosi, 2022 katika Kijiji cha Nyaruyeye, Kata ya Busanda wilayani Geita.

Kamanda amedai kuwa chanjo cha mauaji hayo ni watoto kudai shamba la urithi na mama kusema hawezi kutoa kwa kuwa ameshawalea na kuwataka waondoke nyumbani wakajitegemee.

Mwili wa marehemu umezikwa jana nyumbani kwake baada ya kufanyiwa uchunguzi.

Watuhumiwa watafikishwa kwenye vyombo vya sheria wakati wowote kuanzia sasa kujibu mashtaka yanayowakabili.

“Inadaiwa mama yaoaliwataka waondoke nyumbani kwake na alishawafukuza lakini wakawa wanarudi kudai mashamba ya urithi akawa anakataa wakawa wanamtishia kuwa watakuja kumuua kama hatawapa mashamba tunaamini hawa ndio wamemuua mama yao kwa kuwa mara nyingi watu wa kanda hii wakisema wataua ujue wataua kweli”

Mwaibambe amesema jeshi hilo limeandaa kikosi kazi cha kupambana na wauaji kwa kuwa mauji kama hayo yalikuwa yakitokea miaka ya nyuma na kudaiwa ni Imani za kishirikina lakini ukweli ni kuwa yanayochangia mauji kanda hii ni mengi ikiwemo mausuala ya urithi.

Kamanda amewataka vijana kujishughulisha na kutafuta mali zao wenyewe badala ya kuwa tegemezi kwa kutegemea urithi wa wazazi.

Chanzo: Mwananchi
Japo bado sio solution lakini dah at least basi wangemroga' mbona ni vijana wakubwa tuu 🤔
 
Ndio maana moja wapo ya ushamba uliopitiliza huo!

Wakiambiwa washamba wananuna.. ..
 
Kuua kunatisha.

Kuua kwa makusudi kunatisha zaidi.
Kuua mama yako kunatisha, kunasititisha na kuogofya, na ni laana kubwa.

Kuna vijana wamemuua mama yao aliyewaleta duniani kwa kudai urithi wa shamba.

Kwa jadi hizi tunaweza kumwelewa mwendazake.

----
Watoto watatu wa familia moja wanashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani hapa kwa tuhuma za kumuua mama yao mzazi kwa kumkatakata na kitu chenye ncha kali kichwani na mkononi.

Watoto waodaiwa kumuua mama yao ni Jumbe Kifoda (36), Doto (34) na Rukina Kifoda (30).

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, Henry Mwaibambe leo Juni 2, 2022 amethibitisha kutokea kwa tukio hilo.

Amedai kuwa mauaji hayo yametokea usiku wa kuamikia Juni mosi, 2022 katika Kijiji cha Nyaruyeye, Kata ya Busanda wilayani Geita.

Kamanda amedai kuwa chanjo cha mauaji hayo ni watoto kudai shamba la urithi na mama kusema hawezi kutoa kwa kuwa ameshawalea na kuwataka waondoke nyumbani wakajitegemee.

Mwili wa marehemu umezikwa jana nyumbani kwake baada ya kufanyiwa uchunguzi.

Watuhumiwa watafikishwa kwenye vyombo vya sheria wakati wowote kuanzia sasa kujibu mashtaka yanayowakabili.

“Inadaiwa mama yaoaliwataka waondoke nyumbani kwake na alishawafukuza lakini wakawa wanarudi kudai mashamba ya urithi akawa anakataa wakawa wanamtishia kuwa watakuja kumuua kama hatawapa mashamba tunaamini hawa ndio wamemuua mama yao kwa kuwa mara nyingi watu wa kanda hii wakisema wataua ujue wataua kweli”

Mwaibambe amesema jeshi hilo limeandaa kikosi kazi cha kupambana na wauaji kwa kuwa mauji kama hayo yalikuwa yakitokea miaka ya nyuma na kudaiwa ni Imani za kishirikina lakini ukweli ni kuwa yanayochangia mauji kanda hii ni mengi ikiwemo mausuala ya urithi.

Kamanda amewataka vijana kujishughulisha na kutafuta mali zao wenyewe badala ya kuwa tegemezi kwa kutegemea urithi wa wazazi

Chanzo: Mwananchi
Kamanda na Geita yake'
M.Mungu amfanyie wepesi
 
Pasipokuhusisha ukabila au ukanda, ni muhimu kutambua kuwa vitendo vya mauaji ya kinyama vimeshamiri duniani kote.
Nini chanzo?
Sababu ni nyingi lakini sababu kubwa zaidi ni ukosefu wa maadili.
Maadili hubeba tabia njema kama vile: Huruma, upendo,heshima/kuheshimu,kujali n.k
Hivyo jamii kwa ujumla, kila mmoja kwa nafasi yake, anawajibu wa kufundisha watoto, vijana na hata watu wazima maadili.Hii itasaidi kupunguza au kuondoa kabisa tatizo hili.
Niwapongeze serikali kwa kuongeza somo la maadili kuwa sehemu katika somo la URAIA katika shule za msingi ambapo watoto wamekuwa wakifundisha kuwa na upendo kwa familia na jamii, kujali wanafamilia, ustahimilivu, n. k. Huu ni mwanzo mzuri wa kujenga kizazi chenye maadili.
Pia nipongeze taasisi za dini,mashirika binafsi, vyombo vya habari ambavyo vimekuwa vikitoa elimu ya maadili kwa jami
 
Back
Top Bottom