Geita: Wamuua mama yao Kikongwe wa miaka 70 kisa tu wanataka urithi wa shamba

Geita: Wamuua mama yao Kikongwe wa miaka 70 kisa tu wanataka urithi wa shamba

Pasipokuhusisha ukabila au ukanda, ni muhimu kutambua kuwa vitendo vya mauaji ya kinyama vimeshamiri duniani kote.
Nini chanzo?
Sababu ni nyingi lakini sababu kubwa zaidi ni ukosefu wa maadili.
Maadili hubeba tabia njema kama vile: Huruma, upendo,heshima/kuheshimu,kujali n.k
Hivyo jamii kwa ujumla, kila mmoja kwa nafasi yake, anawajibu wa kufundisha watoto, vijana na hata watu wazima maadili.Hii itasaidi kupunguza au kuondoa kabisa tatizo hili.
Niwapongeze serikali kwa kuongeza somo la maadili kuwa sehemu katika somo la URAIA katika shule za msingi ambapo watoto wamekuwa wakifundisha kuwa na upendo kwa familia na jamii, kujali wanafamilia, ustahimilivu, n. k. Huu ni mwanzo mzuri wa kujenga kizazi chenye maadili.
Pia nipongeze taasisi za dini,mashirika binafsi, vyombo vya habari ambavyo vimekuwa vikitoa elimu ya maadili kwa jami
 
Back
Top Bottom