Na hao wachagga wanaoua wazazi wao kila siku nao wanatokea Geita ?Hii ndio Kanda aliyotokea yule Rais Katili kuliko wote aliewahi kutokea Tanzania,damu za wakina Saanane na wengineo zotaendelea kuililia hiyo ardhi.
Kama samia tu mnamuitaga kikongwe mara ajuza,sembuse huyo wa 70?Bibi wa 70 yrs sio kikongwe!!
...Pole!...Mzazi Wako Hujamuua Bado?...Safi kabisa wazazi nao wawape vijana mali mapema
Si wangesubiri afe, kuliko kuua?Kwani angewapa urithi wangemuua? AU KWANI ASINGEKUFA? Angeishi milele?
Mzazi wangu mjanja kanipa changu mapema...so tunabonga vizuri tuu...Pole!...Mzazi Wako Hujamuua Bado?...
Mitoto yote inashafikisha miaka 30 bado inaishi kwaoKuua kunatisha.
Kuua kwa makusudi kunatisha zaidi.
Kuua mama yako kunatisha, kunasititisha na kuogofya, na ni laana kubwa.
Kuna vijana wamemuua mama yao aliyewaleta duniani kwa kudai urithi wa shamba.
Kwa jadi hizi tunaweza kumwelewa mwendazake.
----
Watoto watatu wa familia moja wanashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani hapa kwa tuhuma za kumuua mama yao mzazi kwa kumkatakata na kitu chenye ncha kali kichwani na mkononi.
Watoto waodaiwa kumuua mama yao ni Jumbe Kifoda (36), Doto (34) na Rukina Kifoda (30).
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, Henry Mwaibambe leo Juni 2, 2022 amethibitisha kutokea kwa tukio hilo.
Amedai kuwa mauaji hayo yametokea usiku wa kuamikia Juni mosi, 2022 katika Kijiji cha Nyaruyeye, Kata ya Busanda wilayani Geita.
Kamanda amedai kuwa chanjo cha mauaji hayo ni watoto kudai shamba la urithi na mama kusema hawezi kutoa kwa kuwa ameshawalea na kuwataka waondoke nyumbani wakajitegemee.
Mwili wa marehemu umezikwa jana nyumbani kwake baada ya kufanyiwa uchunguzi.
ADVERTISEMENT
Watuhumiwa watafikishwa kwenye vyombo vya sheria wakati wowote kuanzia sasa kujibu mashtaka yanayowakabili.
“Inadaiwa mama yaoaliwataka waondoke nyumbani kwake na alishawafukuza lakini wakawa wanarudi kudai mashamba ya urithi akawa anakataa wakawa wanamtishia kuwa watakuja kumuua kama hatawapa mashamba tunaamini hawa ndio wamemuua mama yao kwa kuwa mara nyingi watu wa kanda hii wakisema wataua ujue wataua kweli”
Mwaibambe amesema jeshi hilo limeandaa kikosi kazi cha kupambana na wauaji kwa kuwa mauji kama hayo yalikuwa yakitokea miaka ya nyuma na kudaiwa ni Imani za kishirikina lakini ukweli ni kuwa yanayochangia mauji kanda hii ni mengi ikiwemo mausuala ya urithi.
Kamanda amewataka vijana kujishughulisha na kutafuta mali zao wenyewe badala ya kuwa tegemezi kwa kutegemea urithi wa wazazi
Chanzo: Mwananchi
😁😁😁😁 Sio kwamba tukio linachekesha bali angalia Umri wa watotoView attachment 2248230
Picha: Kamanda wa Polisi Mkoani Geita Henry Mwaibambe
Kamanda wa Polisi Mkoani Geita Henry Mwaibambe amethibitisha tukio la Mwanamke mmoja mkazi wa kijiji na kata ya Nyaruyeye Wilayani Geita, Milembe Lutubija (70) kuuawa kwa kukatwa mapanga na watoto wake kwa madai ya watoto kuhitaji kupatiwa ardhi kama urithi kutoka kwa mama yao.
===

Kamanda amewataka vijana kujishughulisha na kutafuta mali zao wenyewe badala ya kuwa tegemezi kwa kutegemea urithi wa wazazi.
Chanzo: Mwananchi
Japo bado sio solution lakini dah at least basi wangemroga' mbona ni vijana wakubwa tuu 🤔View attachment 2248230

Kamanda na Geita yake'Kuua kunatisha.