GEITA: Wananchi wavamia kituo Cha Polisi, wawili wauawa

Hapo Huenda Kuna ukweli umefichwa haiwezekani watu 800 wafanye maamuzi hayo pasipo uchunguzi wowote haiwezekani
 
Imefika hatua Sasa ukiwa mkoani ukikshika katoto ka ndugu yako kakilia na kukukataa tu tayari unauliwa
Nani kauliwa na alikuwa amebeba mtoto wa ndg yake?

Raia sio wajinga. Wajinga ni ninyi
 

Attachments

  • Screenshot_20240912-122204_1.jpg
    187.6 KB · Views: 2
Hata police wamewaua wachache ilitakiwa wauwawe wengi ili iwe fundisho Kwa jamii nyingine
Daah watu kama wewe ni hasara tupu. Hivi una familia inakutegemea kabisa mkuu? Samahani lkn.
 

Attachments

  • Screenshot_20240912-122204_1.jpg
    187.6 KB · Views: 2
Unajua maamuzi ya mihemuko ya kundi ambalo uelewa wao ni mdogo?
Najua sana lkn Kwa hili Kuna maswali mengi sana kujiuliza mkuu

Swali la kwanza mnada mzima walikuwa na watoto ni wanaume wawili tu?

Je ni nani aliyewahisi kuwa Hawa wameiba Watoto?

Hisitoria ya hao wanaume ipoje Hadi kutiliwa shaka maana ni wenyeji wa hapo hapo lulembela?

Halafu linganisha na maelezo ya huyu mtu aliyekuwepo japo Kuna mwendelezo siwezi weka hapa yote
 

Attachments

  • Screenshot_20240912-122204_1.jpg
    187.6 KB · Views: 2
Ni ngumu zaidi watu 800 kusema uongo labda Kama wali be MANIPULATED

WATU 30 TU NI WENGI SANA KWENYE KUJUA UKWELI NA UONGO MAANA WATU 30 KWA PAMOJA HAWAWEZI KUDANGANYWA SEMBUSE WATU 800+

wasalaam
Nakubaliana nawewe police tunawaomba waendelee kufanya uchunguzi zaidi sio Bure hao jamaa
 

Attachments

  • Screenshot_20240912-122204_1.jpg
    187.6 KB · Views: 2
Hii inaleta hofu kwa wageni wanaotaka kwenda huko, na mbaya zaidi ni kua mtu huwezi kujitetea wakishakuhusi na huo mtaa hufahamiki.

Utaulizwa maswali mfululizo na kutopewa nafasi ya kujibu zaidi ya kipigo tu.
Kamwe huwezi pigwa tu kisa una mtoto. Hapo Kuna maswali sana
 
Akili Yako imefikia kikimo hapo au badae itaji update upya
 
Kwani daslam ilikuwaaje hiv karibuni?

Mbona shule walikuwa wakiona noa au cruiser wazazi wanajaa na kufuata Watoto wao?

Hofu au wasiwasi ndo akiri
 
Tupate watu wa Geita wathibitishe maana unaweza kuta walikuwa ni wafungwa wametegeshwa ili kutuhamisha
Maelezo ya ziada nilimpigia .alisema walipo fikishwa kituoni hawa kupata chochote zaidi ya mabomu na Fujo kadhaa. Na wakasambazwa wote.

Badae ndo ikajulikana kuwa Watoto ni huyo mwanaume.
 

Attachments

  • Screenshot_20240912-122204_1.jpg
    187.6 KB · Views: 2
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…