nyakubonga
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 5,960
- 9,978
Dah wanikumbusha zamani sana shekh...
Hivi ni huyu ndiye aliyekuja kuwa mpiga "wanzuki" wa kufa mtu au namfananisha?🤔
Aiseee super dip 🤣🤣🤣
Dah!Gangwe Bulicheka akiwa na mamsap Lisabeta!
Movie za msimu wa Christmas hizi 😃😃😃
Karibia kumbi zote za Welfare/Ustawi na maendeleo zilifungwa madishi na luninga kabisa.Sikuwahi kukosa kipindi cha "Neighbour "/Everybody's got his neighbour saa 1 au 1:30 usiku.
Aliyesuka hili sembo sio stadi, Kuna wataalam enzi hizo wanalisuka na kamba za manila za rangi tofauti utafikiri limesukwa na machine.
Kitu gani hili mkuu?
🤣🤣🤣Ushasema Gen Z. kwa taarifa yako hata mambo ya kisasa hawajayafehemu.
Wanajua kubet kuliko waliotengeneza hizo mashine
Mkuu umetokea familia ya kishua, mara kwanza kuona TV yenye picha za rangi nilikuwa na miaka zaidi ya 20
Shaabaash!Jamaa mmoja hivi wa kuitwa 2Proud alisababisha nikawa nakesha hilo eneo the late 1990s na early 2000s!
Wababe wa jiji enzi hizo.
Hatari sana.Kuna mambo kama kutumia mswaki wa plastiki,kuvaa viatu/rabamtoni au vya ngozi kutoka Bata,kuvaa nguo za ndani nk ilionekana ni aidha ninyi ni matajiri au mna matumizi ya holela sana.😂
Siku hizi wanataka wapate elimu kwa kuwawekea filamu.Ukiwapa changamoto ndogo tu wasome kitabu kama "The mine boy,Song of Lawino & Okol,The lonely hill" watalalamika ni vikubwa sana halafu vina lugha tata.Watavikacha tu.