mimi sio mwenzio ndugu kila December natoka kutembea nchi mbili tatu mpaka tarehe 20 halafu narudi kuchinja vingombe na mbuzi vya kulaUghaibuni ukiwa umekalia kitu chenye ncha butu sio? Ng'ombe wewe
Mkuu achana na huyo kichaa nyumbu, bila maandamano hawa Ccm watatuzoea sana.. ila mkuu ila tumaandishi unatotumia hatujakaa kijanja.....
Usijustify ujinga kwa kutumia ujinga, kuua raia kwako wewe ni jambo la kawaida tu namaanisha wewe kumuua mtu kwako ni jambo la kawaida tu yaan unaweza kuua vizuri tu?
Na wewe ndg yako hasipoenekana endelea na maisha!safari hii wakidondoshwa hawaachwi chini wataokotwa na kutupwa baharini usipomwona tu ndugu yako endelea na maisha
Mapinduzi yako na yatatokea. Tarehe 29 ilikuwa ni hatua ya awalitafuta post yangu ya tarehe 29 nilisema watu wataanza kulia soon na kweli wamelia, ungekulia kwenye mfumo ndo ungekuwa unanielewa , ndugu hakuna mapinduzi Tanzania kamwe njia pekeee ni kuzungumza tu
Kwanini mnataka kuwapa lawama jeshi la polisi?Wale wenye biashara zenu mjini kabla ya 9/12 mzitoe wananchi wataingia vitani na nawaomba mvumilie nchi ndio inapona.
Niwe tu muwazi kila mmoja anajua watanzania waliouwawa wananchi wengi wana hasira sana hali haitokuwa ya kawaida. hii itakuwa ni kubwa kuliko iliyopita.
Hakuna paka wamshinda Bucherman Mafwele!! Jiandaeni kuchezea shaba tenaWale wenye biashara zenu mjini kabla ya 9/12 mzitoe wananchi wataingia vitani na nawaomba mvumilie nchi ndio inapona.
Niwe tu muwazi kila mmoja anajua watanzania waliouwawa wananchi wengi wana hasira sana hali haitokuwa ya kawaida. hii itakuwa ni kubwa kuliko iliyopita.
Madogo wamekosa uhalali wa kuandamana kwa sababu ya kuleta ujinga mtu anasema atakuwa na silaha sasa huyo akiuawa watasemaje waliobaki kwamba kaonewa? Maana wanasema watakuwa na silaha... hapana, tunaomba maandamano yenu ndiyo yaondoshwe mjini, MTAFUTE AWANJA UNAOWAFAA KWA AJILI YA MAANDAMANO, MTUACHIE MIJI YETU!
Ikumbukwe waliochomewa mali zao na kuibiwa ni machawa wa mbogamboga. Target ilikuwa ni wasanii.
Sawa mkuu ngoja nifanye hivi, hapo sawaMkuu achana na huyo kichaa nyumbu, bila maandamano hawa Ccm watatuzoea sana.. ila mkuu ila tumaandishi unatotumia hatujakaa kijanja..
Kwa kuongezea Mabalozi wa CCM, Wajumbe wa nyumba 10/10 na Watendaji wa serikali za mitaa washushe bendera za mboga mboga kwenye nyumba zao, serious wakipuuza sawa.Wale wenye biashara zenu mjini kabla ya 9/12 mzitoe wananchi wataingia vitani na nawaomba mvumilie nchi ndio inapona.
Niwe tu muwazi kila mmoja anajua watanzania waliouwawa wananchi wengi wana hasira sana hali haitokuwa ya kawaida. hii itakuwa ni kubwa kuliko iliyopita.
Hakuna nchi iliyoshindana na nguvu ya umma iliyowahi shindaNjooni na mawe yenu. Police force ipo pale kwaajili yenu. Polisi msicheke na hao mbuzi wanaohamasishana kuja na bunduki, mishale na mapanga. Amri hiyo siku ni moja usiandanane! Hutaki andamana uiletee familia Yako vilio na majonzi
Hapo sawa mkuu.. nilikua na struggle sana kusomaSawa mkuu ngoja nifanye hivi, hapo sawa
ku.ma wewe yaan nyie maccm hili halitapta bure halitapta bure adui unayemmudu usmuachie MUNGU hatuta muachia MUNGU hili hakika mtalipa..tuSasa matusi ndio yatakusaidia nini?
Wewe wako watapona?safari hii wakidondoshwa hawaachwi chini wataokotwa na kutupwa baharini usipomwona tu ndugu yako endelea na maisha