PostGE2025 Gen Z hawapoi: Desemba 9, 2025 kuja na maandamano mapya

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Aisee hali ni mbaya kweli , kuna taarifa zakutusha sana najua hata serikali pengine wanazo , na wajinga wametafutia uchochoro kutokea kisogoni sana.

Naogopa nisije nikachana code ,aisee music unakwenda kuwa mnene nisivyowahi kufikiri .
Semabhana.....isijekua wahuni wa uganda ama rwanda wanataka kuingia!!
 
wewe ni chawa
 
Humu Jf umemuona member ambaye amepoteza wanae wawili? Jamaa wamemfungia ndani hadi sasa, jana kuna post anasema atatoroka ili aende kondo kama ataona miili ya wanae.

Familia zilizopoteza ndugu na wapendwa wao wana uchungu mkali sana.
Inaumiza Sana,Sana,Sana! Kufiwa Tu na mtoto kunauma sembuse kuuwawa kwa risasi bila hatia!
 
Mkuu unanionea bure, swali familia ziondoke mjini kwani kuna nini? Maandamano tu ama kuna uhalifu?
Heshima kwako mkuu

Jamaa anatoa ushauri tu kama waliowahi kutoa tahadhari ya maandamano ya Mo29, wengi walibeza, lakini kilichokuja kutokea, mimi na wewe ni mashahidi
 
Nakumbuka kwenye history/civics kuna swali lilikuwa ,Changes are inevitable Discuss(20 Marks)

Hawawezi kuzuia mabadiliko ,lazima yatokee ni nature hiyo ,kadri unavyozuia mchanga kwenye kiganja usitoke ndiyo unazidi kutoka mwingi.
Hii sentesi ya mwisho ifike Kwa Samia
 
Kuna kitu hakiko sawa CCM ndani jivue gamba mtuachie chama hiki chama kinaitaji ukombozi kukitoa mikononi watu wanaokitumia vibaya. Kama Lissu alivyoinasua Chadema mikononi mwa Mbowe CCM Inaitaji irudi mikononi mwa watu mambo ya watu kujimilikisha chama na serikali ndo yanatufikisha hapa
 
Semabhana.....isijekua wahuni wa uganda ama rwanda wanataka kuingia!!
No support iko upande wa waandamanaji joh , inaonyesha music wa safari hii mbwa wa Mama ndiyo target ilipo , wakicheza watakuwa vichwa kibandidu sana , maana zimegawiwa nihatari .
 

Na bado
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…