Shetani aliwaza sku moja ivi nkimpindua Sir God si nachukua nafasi yake? Ndan yake aliona ana nguvu sana kama ulivo kijana wewe unaetaka kuandamana mda hui, ila ukwel ni kwamba utakapoandamana litakalokukuta ndo itakua mwisho wako, wale wote waliokua wanakupa kichwa wataiacha familia yako ikiwa na mateso x2, watoto wako watakua yatima na mke wako ataenda kuolewa na mtu mwenye akili zaidi, katika blog zetu uchwara bila kujua ulikuepo duniani utapewa jina kama fungu (Mashujaa)
Watoto wako watateseka na kunyanyasika katika ulimwengu ulioupigania, waliokwambia ukaandamane watapokea pesa zao kama alivopokea madenge billion zake na wewe utabaki kwenye fungu la wajinga kwa jina la mashujaa, mtoto wako atakapokua mkubwa ndipo ataelewa alikua na mzazi mjinga kuwahi tokea