PostGE2025 Gen Z hawapoi: Desemba 9, 2025 kuja na maandamano mapya

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
SOLO: Hahahahahahahahaha
 
Huyu jamaa anaongea kama utani wakati ana data zote na kila kitu.....Kila kitu anachoongea ni ukweli kabisaa huwa hakwepeshi kabisa
 
Dec 9 imefika , kama mlijua Wananchi Wanatania, basi imekula kwenu.


Wananchi wanatoa Onyo kwamba, Kikundi hiki kisithubutu KUUA RAIA YOYOTE YULE SIKI YA MAANDAMANO.
 
Tukifa , tuonane Mbinguni, Kufa unapigania HAKI ni ibada Kwa Mungu kwakua Mungu ni HAKI na KWELI.

Lakini kamwe usikubali Bunduki yako KUUA RAIA .
 
Hakuna dini inayoruhusu kuua raia kwa maslai ya hizi siasa chafu.... Hakuna hakuna.

Simama pigania haki yako udini weka pembeni.....
 
Acheni kupoteza Muda na kujichosha na kutumia Rasimali Mali vibaya.

Hakuna MARIDHIANO, hakuna Cha Wazee hakuna Cha kamati ya Amani, hakuna Hakuna hakunaaaa hakunaa kabisa



Mpaka kufikia Sasa, mmeshashindwa, Maandamano ni Tanzania yote, safari hi mtashangazwa hasaaa, Maandamano ni Mikoa yote ya Tanzania na Wilaya Zote za Tanzania !!!.


Hakuna Jiwe litasalia juu ya Jiwe !!!.


Nyie simnasema, waandamanaji Walipwa???

Haya Ngoja Dec 9 baada ya hapo mtasema ni matrillion Mangapi yametumika kulipa Nchi Nzima !!.




Mmeua Watanzania mkifurahia, Miaka mingi mwafunzwa kutumia Silaha ila hamkuwahi kuzitumia, Okt 29 mkaamua kujifurahisha na kúfanya Zoezi la Kuua watu???.
 
Waandamanaji wasiwe na wasi wasi. JWT limejipanga vyema kuua askari kama lilivyowaua from MO29, hivyi hao vibaraka wenu wajiandae kuuliwa na JWTZ, tupo imara
 
Ni hatari hutakiw kuipuuza
Msiwe na wasi wasi JWTZ lipo imara kuhakikisha hakuna mwandamanaji anauawa na hawa vibaka. Unajua last time polisi fake wengi sana waliuliwa na pia hao kundi la October 2pm waliuliwa yaani waliwindwa kama digidigi na sasa wengi wanashikiliwa na bado wakitokea tu lazima wauawe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…