PostGE2025 Gen Z hawapoi: Desemba 9, 2025 kuja na maandamano mapya

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Lazima tuwaondoe hawa wakoloni wa sasa,hata babu zetu akina nyerere wangekata tamaa,wenda hadi saiz tungekuwa tunatawaliwa, tupate uhuru wetu mpya D9
 
Inafaida gani ku rekodi matukio wakati watu wanauliwa badala ya kuzuia wasiuliwe?

Nadhani ingekuwa bora zaidi kama hiyo control center ingekuwa ya kuhakikisha hakuna damu ya mtu itamwagika katika maandamano kuliko kulenga kurekodi matukio ya vifo.
 
Tulia mkuu utaona kitu roho inapenda....
 
Harakat za ukomboz kama za uhuru zimeanza watawala wanaweza kudhan ni utan hiv ila watu wana hali na molal ni itukad dhid ya mabavu
 
Inafaida gani ku rekodi matukio wakati watu wanauliwa badala ya kuzuia wasiuliwe?

Nadhani ingekuwa bora zaidi kama hiyo control center ingekuwa ya kuhakikisha hakuna damu ya mtu itamwagika katika maandamano kuliko kulenga kurekodi matukio ya vifo.
Sometimes akili ya Mto wa mbu anaijua mwenyewe
 
Nyie vijana ni vichaa na MATAHIRA wakubwa.
Yaani vikamera vya kurekodi ili matukio mumtumie Maria Sarungi na Twaha ndivyo vinawafanya muwe tayari kufa ?
 
DJI MIN pro , kurekodi matukio yoote ya ukatili yatakayofanywa na polisi kwenye D9
Drone zitakuwa jammed....labda mrushe za optical fibre ambazo ni hatari kuziendesha.

Lakini, ili kuepusha hayo, fuateni masharti ya Polisi ya kuwapelekea barua. Na watoe ulinzi kwa route maandamano yatakapopita. Hiki ndicho lisikia kutoka kwa msemaji wa Polisi
 
Jammed keep dreaming
 
Jammed keep dreaming
Any frequency-operated based drones are prone to jamming!!! At the moment only fibre operated drones are immune to existing technology!!!

Kasheshe utafichaje fibre...ili Chanzo cha drone kisionekane?
 
Mayii hehee. Kila kitu kiko mahala pake. Kesho twapumzika tuli. Twakutana bar kujivinjali kwa kazi ya Kesho kutwa. Itajulikana huko nguvu ya umma ikoje. Bila kuchoka. Walahi kuna watu waona mambo yako tuli hehehee. Mayii. Wasema kichwa cha Kobe. Vijana endeleeni kuwa watulivu msiwe pupa. Hehe kazi yaenda kuisha soon. Kesho kutwa mtaweka historia ya heshima. Hehee walahi niliwaambieni hawatatumia tena askari wetu kufanya uchafu zao. Msisite. Na bado bila kuchoka. Mayii
 
Nani yuko tayari kuungana na mimi D9 tukawakatie umeme wazanzibari kimya kimya? Tuwaonyeshe tu who's the boss?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…