The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 9,205
- 22,219
SawaMayii hehee. Kila kitu kiko mahala pake. Kesho twapumzika tuli. Twakutana bar kujivinjali kwa kazi ya Kesho kutwa. Itajulikana huko nguvu ya umma ikoje. Bila kuchoka. Walahi kuna watu waona mambo yako tuli hehehee. Mayii. Wasema kichwa cha Kobe. Vijana endeleeni kuwa watulivu msiwe pupa. Hehe kazi yaenda kuisha soon. Kesho kutwa mtaweka historia ya heshima. Hehee walahi niliwaambieni hawatatumia tena askari wetu kufanya uchafu zao. Msisite. Na bado bila kuchoka. Mayii
Bi Haloo uko kama sigara nyotaMayii hehee. Kila kitu kiko mahala pake. Kesho twapumzika tuli. Twakutana bar kujivinjali kwa kazi ya Kesho kutwa. Itajulikana huko nguvu ya umma ikoje. Bila kuchoka. Walahi kuna watu waona mambo yako tuli hehehee. Mayii. Wasema kichwa cha Kobe. Vijana endeleeni kuwa watulivu msiwe pupa. Hehe kazi yaenda kuisha soon. Kesho kutwa mtaweka historia ya heshima. Hehee walahi niliwaambieni hawatatumia tena askari wetu kufanya uchafu zao. Msisite. Na bado bila kuchoka. Mayii
β¦.Bi Haloo uko kama sigara nyota
Acha mikwala mbuzi boya weweEwe kijana, mzee, mama, baba, kaka, dada na wengine D9 hii haap inabisha hodi. Ameshasema nguvu inayotumika ni sawa na utakavyokuja wewe. KARIBU UWANJANI.
Sasa basi iko hivi, ule msamaha haukutolewa bahati mbaya, na kwa kauli kwamba wengi walikua hawajui wanachokifanya bali kufuata mkumbo ulikua mtego.
Tutakaotoka D9 tutoke tukijua kuna kufa, na endapo tutakamatwa basi tusitegemee tena kutolewa kwa msamaha bali mapambano ya kisheria au tutapambana ndani kwa mateso makali mana hakutakua na kwamba walikua hawajui wanachokifanya.
Tutakaotoka tujue tunaenda kufanya uhaini Rasmi tukiwa tunajua na si kufuta mkumbo tena kama mwanzo mana lengo kuu ni kuiondoa serikali madarakani.
Note: maandamano ya amani ni kama hayawezekani kwasababu wapo wenye mlengo chanya wa mabadiliko (ni wachache watatoka) ila wapo waliojipanga kujinufaisha kutokana na maandamano hayo (hawa ndio wengi) na lazima watavuruga dhana ya maanadamano ya amani.
D9 is there do it at your own risk.
Wakutengenezee special thread yako ya Red Cross kuliko uzi kuja kuchanganywa huku!hatujamaliza
Umezoea utapeli na kutumika hovyoMaandamano uchwara ya vibaka wezi na waharibifu wa mali yatadhibituwa hata muwe nyumbu million 40 , japokua nyumbu huwa hamfiki hata laki 3 , wote mtachapwa risasi na kuuliwa mbele ya mali mtakazoiba au kuharibu
Yanaanzia nyumbani kwako unafata barabara kuu mpaka ikulu.Maandamano yanaanzia wapi na yanaishia wapi?
Wewe ukimwona mtu mbele Yako mfuate mkafanye usafi wa miji. Siunajua kesho ni usafi day?Maandamano yanaanzia wapi na yanaishia wapi?