Mtunza siri zako
JF-Expert Member
- Apr 11, 2025
- 586
- 975
Gen Z njooni tubadilishane mawazo na uzoefu.
Vipi wewe unafanya mishe gani? maisha yanakupiga au umeyapatia? Kama umeyapatia, tufundishe njia zako na sisi tutembee humo.
Humu JF naona GenZ tunapewa sifa mbaya, kasoro wanawake tu, ndiyo wanasema tuolewe tukiwa wadogo. Kitu gani cha kukera au ambacho si cha kweli umekiona humu kuhusu generation yetu.
Kama hujui:

- Baby Boomers – 1946 hadi 1964
- Generation X (Gen X) – 1965 hadi 1980
- Millennials (Gen Y) – 1981 hadi 1996
- Generation Z (Gen Z) – 1997 hadi 2012
- Generation Alpha (Gen α) – 2013 hadi sasa (inavyoendelea)