Gen Z tunasakamwa sana, tuolizaliwa kati ya 1997 mpaka 2012 tukutane hapa

Gen Z tunasakamwa sana, tuolizaliwa kati ya 1997 mpaka 2012 tukutane hapa

Moja kati ya ujinga wa gen z ni kupenda kujiona (na kuonekana) wadogo hata kama ni wa 97-2000 huko!

Class chuo kama robo tatu walikuwa ni gen z niliowazidi miaka kati ya 1-5 tu, ila shughuli niliipatapata. Yaani nilikuwa nang'ang'anizwa kuonekana kama babu yao, kama vile nawazidi miaka 50!😁
 
Moja kati ya ujinga wa gen z ni kupenda kujiona (na kuonekana wadogo) hata kama ni wa 97-2000 huko!

Class chuo kama robo tatu walikuwa ni gen z niliowazidi miaka kati ya 1-5 tu, ila shughuli niliipatapata. Yaani nilikuwa nang'ang'anizwa kuonekana kama babu yao, kama vile nawazidi miaka 50!😁
Si mnapendaga tuwaheshimu, ila ndo majukumu ya ukubwa hayo, unakua kaka au uncle unatusaidia sisi vitoto
 
Lini tumewaomba hiyo heshima?

Mtoto nikiwa nimekuzidi mwaka mmoja au miwili? Gen z wa 2000 sasa ana miaka 25! Tayari naogopa kuoa demu wa umri huo jua lake lishaanza kuzama! Hapo sijazungumzia wa 97!
Wewe uliyezidi mwaka mmoja si ni Gen Z mwezetu tu, ndo maana unamaindi. Angekua millenial wa 30+ wala hajionei zake shida.
 
Hatari sana, kumbe humu tunaweza kuwa tunabishana kwenye comment na watu ni mababa au mababu zetu.
Kuna mtu huko DM aliniambia ana miaka 48, haraka nikaleft hiyo convo maana 🤭
😂😂😂😂😂
 
Yaani mmezaliwa mmemkuta Rkelly kashatoa Album? Yaani mmezaliwa wakati movie ya Titanic ndiyo inatoka?

1745093316408.png


1745093381527.png
 
Lini tumewaomba hiyo heshima?

Mtoto nikiwa nimekuzidi mwaka mmoja au miwili? Gen z wa 2000 sasa ana miaka 25! Tayari naogopa kuoa demu wa umri huo jua lake lishaanza kuzama! Hapo sijazungumzia wa 97!
Mbona una akili kama zangu siwez oa demu wa 2000 na ikifika next year staki demu wa 2001 ikifika 2027 staki demu wa 2003
 
Gen Z yaani hopulesi kabisa. Unavalishwa suti ya pinki. Kama hiyo haitoshi na chozi bado unalimwaga. Eti ndo uwe kichwa, baba, provider, protector, comforter na kuhani wa familia yako. Mnazingua sana aisee basi tu! 😂😂🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️

IMG-20250415-WA0154.jpg
 
Back
Top Bottom