Gen Z tunasakamwa sana, tuolizaliwa kati ya 1997 mpaka 2012 tukutane hapa

Gen Z tunasakamwa sana, tuolizaliwa kati ya 1997 mpaka 2012 tukutane hapa

Mbona una akili kama zangu siwez oa demu wa 2000 na ikifika next year staki demu wa 2001 ikifika 2027 staki demu wa 2003
Yah usithubutu bob hao wanakuwa tayari ni wabibi, kakifika 35 kalishakuovateki kitambo huna mood nako, unajikuta ushaanza kukimbizana na vi gen alpha!
 
Gen Z yaani hopulesi kabisa. Unavalishwa suti ya pinki. Kama hiyo haitoshi na chozi bado unalimwaga. Eti ndo uwe kichwa, baba, provider, protector, comforter na kuhani wa familia yako. Mnazingua sana aisee basi tu! 😂😂🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️

View attachment 3309850
Jux Huyu kazaliwa 1989 36 of age lakini Leo katoa chozi sembuse Gen Z mkuu,

Baba mkwe, medical. Doctor hajambo hapo home
 
Hatari sana, kumbe humu tunaweza kuwa tunabishana kwenye comment na watu ni mababa au mababu zetu.
Kuna mtu huko DM aliniambia ana miaka 48, haraka nikaleft hiyo convo maana 🤭
48 dogo wa juzi tu huyo kha! Watu tuna 78 na bado tupo JF humu tunadunda. Humu kuna watu wa kila aina ndiyo maana ni muhimu sana kuheshimu kila mmoja!
 
Maisha kwa Sasa ni magumu hayachagui yaani generations zote zinapigika.Life goes on
 
Jux Huyu kazaliwa 1989 36 of age lakini Leo katoa chozi sembuse Gen Z mkuu,

Baba mkwe, medical. Doctor hajambo hapo home
MD naona alikuogopesha ukakimbia mazima. Typical Gen Z behaviour.

Jux hizo drama za ustar tu. Huwezi kumlinganisha na huyo Gen Z aliyavalishwa msuti wa pink hapo 😂
 
Gen Z mnakwenda kwenye interview mmelewa, mmenyoa viduku halafu mmevaa vimini na milegezo. Kweli? 😳😳😳

IMG-20250418-WA0017.jpg

WhatsApp20Image202025-04-1720at2011.15.16.png
 
MD naona alikuogopesha ukakimbia mazima. Typical Gen Z behaviour.

Jux hizo drama za ustar tu. Huwezi kumlinganisha na huyo Gen Z aliyavalishwa msuti wa pink hapo 😂
Sijaogopa father, we can talk, if your not joking, MD atakuwa na umri gani maana sahv naona MD mdogo kabisa anaweza kumaliza na miaka 23 hiyo ni five years plus intern ni 24 years
 
kweny moja na mbili zangu hivi vi Gen z vinanikera vinakisamaki sana ila kwa nje wanaita ila ndoivyo mzuri wa mkakasi ndani kioande cha mti
Hujawaona mama zao wa 1980, pale chako ni chako dodoma, tabia wamerithi
 
Sijaogopa father, we can talk, if your not joking, MD atakuwa na umri gani maana sahv naona MD mdogo kabisa anaweza kumaliza na miaka 23 hiyo ni five years plus intern ni 24 years
Dogo alifanya double major - alipokuwa high school pia alikuwa anakula buku la varsity. Hii imempunguzia kama mwaka na ushee hivi kwenye sequence yake..

Umeshajiandikisha kwa Ras Simba tayari?
 
Back
Top Bottom