min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Unaonekana unachukulia serious sana mambo ya humu mkuu, humu kila mtu ni mkuu hakuna cha umri heshima zako peleka kanisani mkuuHatari sana, kumbe humu tunaweza kuwa tunabishana kwenye comment na watu ni mababa au mababu zetu.
Kuna mtu huko DM aliniambia ana miaka 48, haraka nikaleft hiyo convo maana 🤭