Mtunza siri zako
JF-Expert Member
- Apr 11, 2025
- 586
- 975
Gen Z wenzangu Nomadix , Binti Sayuni03 na kadogo2 hebu njooni, wanasema hatumo humu JFupo wewe peke yako sie wakongwe ππ
π π π nipe intro kwanzaNjoo pm tuyajenge Nesi kungwi
Wanachonikera ni kudhani kuwa vijana Gen Z wote tuna vibamia, ety Vijana Gen Z bila mkongo hatutoboi, ety kila mda tunawaza ngono, ety hatuna mchango kwa taifa letu, ety au basi hadi nabubujikwa machozi nimesikitika sana
Jamani kumbe wanawasema mna vibamia tena, hilo na hayo mengine yote si kweli kabisaWanachonikera ni kudhani kuwa vijana Gen Z wote tuna vibamia, ety Vijana Gen Z bila mkongo hatutoboi, ety kila mda tunawaza ngono, ety hatuna mchango kwa taifa letu, ety au basi hadi nabubujikwa machozi nimesikitika sana
haha π πWatakuja tu akina mzabzab na secretarybird watuite vitoto
Sana tu, neema walikula wao, mateso tunapata sisihaha π π
wasichojua ni kuwa wametangulia kuliona jua ila sisi limetuchoma sana
Hahaha mimi sio katoto ka elfu mbili mkuu kijana wangu wa kwanza wa 2008 ππ
Haha ndio maana nikasema "wazee wa JF kina min -me"Hahaha mimi sio katoto ka elfu mbili mkuu kijana wangu wa kwanza wa 2008
Mbona vitoto vya 2000 sijawahi kuvidharau jamani.Watakuja tu π π akina mzabzab na secretarybird watuite vitoto
Hatari sana, kumbe humu tunaweza kuwa tunabishana kwenye comment na watu ni mababa au mababu zetu.Hahaha mimi sio katoto ka elfu mbili mkuu kijana wangu wa kwanza wa 2008 ππ
Heee heee wewe tenaMbona vitoto vya 2000 sijawahi kuvidharau jamani.
Mnanisingizia tu.