Kasongo yeeyee
JF-Expert Member
- Oct 14, 2024
- 1,201
- 2,705
Yah usithubutu bob hao wanakuwa tayari ni wabibi, kakifika 35 kalishakuovateki kitambo huna mood nako, unajikuta ushaanza kukimbizana na vi gen alpha!Mbona una akili kama zangu siwez oa demu wa 2000 na ikifika next year staki demu wa 2001 ikifika 2027 staki demu wa 2003
Jux Huyu kazaliwa 1989 36 of age lakini Leo katoa chozi sembuse Gen Z mkuu,Gen Z yaani hopulesi kabisa. Unavalishwa suti ya pinki. Kama hiyo haitoshi na chozi bado unalimwaga. Eti ndo uwe kichwa, baba, provider, protector, comforter na kuhani wa familia yako. Mnazingua sana aisee basi tu! ππππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈ
View attachment 3309850
48 dogo wa juzi tu huyo kha! Watu tuna 78 na bado tupo JF humu tunadunda. Humu kuna watu wa kila aina ndiyo maana ni muhimu sana kuheshimu kila mmoja!Hatari sana, kumbe humu tunaweza kuwa tunabishana kwenye comment na watu ni mababa au mababu zetu.
Kuna mtu huko DM aliniambia ana miaka 48, haraka nikaleft hiyo convo maana π€
MD naona alikuogopesha ukakimbia mazima. Typical Gen Z behaviour.Jux Huyu kazaliwa 1989 36 of age lakini Leo katoa chozi sembuse Gen Z mkuu,
Baba mkwe, medical. Doctor hajambo hapo home
Mimi maisha bado yananichapa nawaza nipate sponsor lenye mipesa yake niishi vizuri ππ
Sijaogopa father, we can talk, if your not joking, MD atakuwa na umri gani maana sahv naona MD mdogo kabisa anaweza kumaliza na miaka 23 hiyo ni five years plus intern ni 24 yearsMD naona alikuogopesha ukakimbia mazima. Typical Gen Z behaviour.
Jux hizo drama za ustar tu. Huwezi kumlinganisha na huyo Gen Z aliyavalishwa msuti wa pink hapo π
Mimi maisha bado yananichapa nawaza nipate sponsor lenye mipesa yake niishi vizuri ππ
Hujawaona mama zao wa 1980, pale chako ni chako dodoma, tabia wamerithikweny moja na mbili zangu hivi vi Gen z vinanikera vinakisamaki sana ila kwa nje wanaita ila ndoivyo mzuri wa mkakasi ndani kioande cha mti
Dogo alifanya double major - alipokuwa high school pia alikuwa anakula buku la varsity. Hii imempunguzia kama mwaka na ushee hivi kwenye sequence yake..Sijaogopa father, we can talk, if your not joking, MD atakuwa na umri gani maana sahv naona MD mdogo kabisa anaweza kumaliza na miaka 23 hiyo ni five years plus intern ni 24 years
Hiyo mzee schooling two in one ni utaratibu wa nchi gani?Dogo alifanya double major - yupo high school lakini pia anakula buku la university. Hii imempunguzia kama mwaka na ushee hivi kwenye sequence yake..
Umeshajiandikisha kwa Ras Simba tayari?
Siyo wote mkuukweny moja na mbili zangu hivi vi Gen z vinanikera vinakisamaki sana ila kwa nje wanaita ila ndoivyo mzuri wa mkakasi ndani kioande cha mti
Hahaha ππ€£, acha bana bibie.Subiria ukazamishwe km Mv bukoba ndo utajua..!! πΉπΉπΉ
Chukua hizo notes na uzisome kisawa sawa pia uifanyie practice then uje unifurahishe.Wacha weeeeeee π π π haya mi nachukua notes tu
Shimba ya Buyenze heshima yako mkuu
Bwana asifiwe binafsi nichukue nafasi kushukuru kufika mwezi wa nne tarehe 20πHeri ya Pasaka mkwilima wangu.
Amefufuka! ππΏππΏππΏ
Wakongwe kaziniupo wewe peke yako sie wakongwe ππ