Gen z wa bongo hawana time na siasa za nchi yetu

B-2 STEALTH BOMBER

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2024
Posts
4,640
Reaction score
6,422
Wakuu hawa madogo bwana wana zingua hawajali kuhusu maswala ya kiutawala katika taifa letu pendwa la TANZANIA wao wana waza nyandu tu.

Inanipa ukakasi kijana wa chuo haoni maana ya kufuatilia sheria na kanuni za kiutawala katika taifa letu ila yupo aware na connection ya mtoto wa mchungaji. Aisee taifa la miaka ijayo ya 2050 litakua na wazee wa hovyo sana.

Wanacheleweshewa boom ila kesho utawakuta wanaimba mama samia 5 tena.

WAmeua elimu sasa wanaua na maadili ya vijana wetu wa 2000's. Leo tunaona sawa ila miaka 10 mbele tutajuta.

Vijana mnahubiriwa amani na mnaambiwa ajira sio jukumu la serikali si mkatae kuwapigia kura..? Mnaakili na utashi amkeni
 
Wakuu hawa madogo bwana wana zungua hawajali kuhusu maswala ya kiutawala katika taifa letu pendwa la TANZANIA wao wana waza nyandu tu. Inanipa ukakasi kijana wa chuo haoni maana ya kufuatilia sheria na kanuni za kiutawala katika taifa letu ila yupo aware na connection ya mtoto wa mchungaji. Aisee taifa la miaka ijayo ya 2050 litakua na wazee wa hovyo sana.
Wanacheleweshewa boom ila kesho utawakuta wanaimba mama samia 5 tena.

WAmeua elimu sasa wanaua na maadili ya vijana wetu wa 2000's.
Leo tunaona sawa ila miaka 10 mbele tutajuta.
Vijana mnahubiriwa amani na mnaambiwa ajira sio jukumu la serikali si mkatae kuwapigia kura..? Mnaakili na utashi amkeni
Hii ni dalili mbaya,kwa wanaokumbuka wakongo man walizoea kucheza ndombolo ya solo,
leo hii wamekuja kujitambua kuwa starehe zinanoga ukiishashiba,leo unaona kinachoendelea.
Tunaishia kuilaumu rwanda kwamba ipo nyuma ya m23 lakini ukiangalia kama kweli rwanda imeingia ni kwamba imekaribishwa na wananchi wenye njaa ya kutengenezwa.
 
Wakuu hawa madogo bwana wana zingua hawajali kuhusu maswala ya kiutawala katika taifa letu pendwa la TANZANIA wao wana waza nyandu tu.

Inanipa ukakasi kijana wa chuo haoni maana ya kufuatilia sheria na kanuni za kiutawala katika taifa letu ila yupo aware na connection ya mtoto wa mchungaji. Aisee taifa la miaka ijayo ya 2050 litakua na wazee wa hovyo sana.

Wanacheleweshewa boom ila kesho utawakuta wanaimba mama samia 5 tena.

WAmeua elimu sasa wanaua na maadili ya vijana wetu wa 2000's. Leo tunaona sawa ila miaka 10 mbele tutajuta.

Vijana mnahubiriwa amani na mnaambiwa ajira sio jukumu la serikali si mkatae kuwapigia kura..? Mnaakili na utashi amkeni
Vijana wa tanzania wako busy kubishana mpira
 
Watz Wana IQ kubwa sana, ppls are fighting for they're future welliness!, wanasiasa ni wapigaji tu, ndio maana kutwa kushinda kwa waganga wa kienyeji.
 
Mtu anavaa hivi unategemea kichwani atawaza nini?
IMG_20250531_171223.jpg
 
Wakuu hawa madogo bwana wana zingua hawajali kuhusu maswala ya kiutawala katika taifa letu pendwa la TANZANIA wao wana waza nyandu tu.

Inanipa ukakasi kijana wa chuo haoni maana ya kufuatilia sheria na kanuni za kiutawala katika taifa letu ila yupo aware na connection ya mtoto wa mchungaji. Aisee taifa la miaka ijayo ya 2050 litakua na wazee wa hovyo sana.

Wanacheleweshewa boom ila kesho utawakuta wanaimba mama samia 5 tena.

WAmeua elimu sasa wanaua na maadili ya vijana wetu wa 2000's. Leo tunaona sawa ila miaka 10 mbele tutajuta.

Vijana mnahubiriwa amani na mnaambiwa ajira sio jukumu la serikali si mkatae kuwapigia kura..? Mnaakili na utashi amkeni
Wapo busy na Simba na yanga,kunywa pombe, shisha na bange , kuangalia movie na music uchawa, ku bet, umarioo,kucheza playstation, ku bet, kudanga ,ushoga na kufuatilia mipira ya ulaya haya ni kwa uchache.
 
Back
Top Bottom